Serikali imefeli na inazidi kudanganya

Serikali imefeli na inazidi kudanganya

heartbeats

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
8,046
Reaction score
13,392
Hakuna kitakacho endelea ni kupotezeana muda tu

Samia hataki kusema ukweli maana ni mwiko kwao

Mambo yatakwama hali itakuwa ngumu zaidi na wao excuse watakayotoa wao ni kwamba mmeiharibu nchi yenu wenyewe mjifunge mkanda

Hakutokuwa na utulivu tena ni ngumu sana kuongoza watu waliogawanyika, huyo maza hamtomwona uraiani hovyo labda wamweke katika Kabati la bullet proof
 
mpaka mnyooke
 
Back
Top Bottom