Hakuna kitakacho endelea ni kupotezeana muda tu
Samia hataki kusema ukweli maana ni mwiko kwao
Mambo yatakwama hali itakuwa ngumu zaidi na wao excuse watakayotoa wao ni kwamba mmeiharibu nchi yenu wenyewe mjifunge mkanda
Hakutokuwa na utulivu tena ni ngumu sana kuongoza watu waliogawanyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.