Serikali ikitoa milioni 50 tatizo la Umasikini Tanzania litaisha

Hivi umasikini unatokana na kukosa hela au akili?

Sent using Jamii Forums mobile app
Umasikini ni nini?
Ujue huyu jamaa hata mie alinivuruga nakumbuka 2014 kuelekea 2015 nilikuwa nahesabu pesa za kugawa kwa wananchi jimboni bee zaidi ya million 200 na hazikutosha jimboni hapo ni hela ndogo ndogo tu.

Nyie acheni tu niwe maskini maana kipindi kile kuna watu wananifata wananiambia tutengeneze majina fake weye tuingize watu wemtakatifu
 
Back
Top Bottom