StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 3,679
- 3,724
Huu ukweli wanausema wachache sana.Ishi milele mkuuMimi ndani ya st Francis hakuna maajabu zaidi in kuwa wanchukua wanafunzi cream kwenye mchujo wao that period sasa kama wanaenda kwenye interview watoto 5000 alafu wao wanahitaji 100 huoni kwamba watachukua wanafunzi bora tupu. Ambao ukiwachukua ukawapeleka hata shule yenye mazingira ya wastani wataperform
Kama st Francis in bora na wao wawe wanapelekewa wanafunzi kwenye mgawanyo wa serkali then wawabadilishe na kufaulu
Sent using Jamii Forums mobile app