Serikali ikajifunze toka St. Francis Sekondari Mbeya kuboresha ufaulu wa kidato cha nne

Haya ziambieni shule za private watembelee shule za serikali kujifunza namna ya kufaulisha, maana wameburuzwa vibaya matokeo kidato cha sita. Tulisema hapa shule za private hufanya vizuri vidato vya chini sababu ya mchujo mkali watu wakawa wabishi. Hakuna Siri yoyote ya kufaulisha wanayo private. Watoto wengi wanaofaulu form iv huenda shule za serikali ndio maana private wanafelisha. Kisimiri wanaongoza kitaifa miaka mitatu mfululizo ila wanaoenda pale ni one tupu
 
Sio one tu pia ndan ya tahasusi yako uwe na wastani wa AAA au AAB
 
Back
Top Bottom