ighalamu
JF-Expert Member
- Dec 26, 2019
- 393
- 643
Yani watu wameamua kukaza vichwa na kutaka tuamini story za uongoWatu hawataki kukubali ukweli wa jinsi hii...kwenye list ya wale wanafunzi hakuna wa kigogo hata mmoja, wanataka at least St francis nao watetereke ili wapate pa kuegemea
Sent using Jamii Forums mobile app