NUMAN
JF-Expert Member
- Sep 3, 2019
- 614
- 831
Unaona mbali sana mkuu...hayo matokeo wawafanganye wajinga tuu maana kitaalam haiwezekani hio hata wangekuwa cream namna gani...kuna mambo mengi sana mfano kuumwa siku ya mtihani,kupanic nk sasa hawa wote walikuwa wazima tena wamepiga div one point 7 wanafunzi 62 kati ya 91...big no!!!Acha kujidanganya issue sio cream ebu serikali nayo ijaribu kuchukua cream tuone kama kutakuwa na matokeo mazuri hivi mfululizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app