Maiti hakosi wa kumsalia hata usipokuwa tajiri.Ukiwa na hela utazikwa tu hata kama hujawahi kwenda kanisani mchungaji na wainjilisti watakuja vizuri tu.
Ukienda Msikiti wa Maamur pale Upanga utaona pameandikwa Huduma za Mazishi ni 30,000 ila kama hauna hela ni bure, unapewa Gari ya maiti, facilities za kumsafisha marehemu na mambo mengine. Kifupi kwa waisilamu alichosema mtoa mada hakipo, hatuachi mtu awe mzoga,Lakini sikuona pahala mleta mada ameonyesha au kujitambulisha kuwa Mkristo wala kulalamika mazishi ya Kikristo.
Sitakosea nikisema unajistukia wewe na hicho ulichokitaja hapo,mleta mada kuzikwa ni kuzikwa tu hakuna atakaekuacha uzagae zagae hovyo.
Ni kweli madhehebu ya wakristo wana ubaguzi wa mazishi na huduma nyingine za kiroho kwa wale ambao wanaonekana kutoshiriki kwa kiwango cha kuridhisha shughuli mbalimbali za madhehebu yao.Hivi mkitaka kulalamikia Ukristo wenu kwani ni lazima muutaje na Uislam?
Unaweza kuniambia misikiti inatumiaje kigezo cha mazishi kumkomoa mtu ambaye hajashiriki kikamilifu katika mambo ya dhehebu lake?
Unaujua utaratibu wa Mazishi kwa mujibu wa Uislam?
Sasa kilichofanya kushirikisha Ukristo na alichosema mleta mada ulikitoa wapi wakati yeye haku-mention mambo ya imani?Ukienda Msikiti wa Maamur pale Upanga utaona pameandikwa Huduma za Mazishi ni 30,000 ila kama hauna hela ni bure, unapewa Gari ya maiti, facilities za kumsafisha marehemu na mambo mengine. Kifupi kwa waisilamu alichosema mtoa mada hakipo, hatuachi mtu awe mzoga,
Kama mtu sio muisilamu hatutomswalia tu, ila tunamzika.
Tu-assume mleta mada ni atheist na ni ndugu yangu mimi Mkristo,always modern atheist wametokana na familia zinazomuabudu Mungu so kuzaliwa kwake ktk familia ya Kikristo hakumfanyi awe Mkristo akishavuka aged 14,sijawahi hata mara moja kumuona akifanya lolote linalohusiana na Ukristo lakini afe nikalitake Kanisa limsalie akiwa maiti,yaani alipokuwa hai na akili zake timamu hakuwahi hata mara moja kumkiri Mungu lakini leo afe mkusanyane waamini eti mnaombea maiti imkiri Mungu?Ni kweli madhehebu ya wakristo wana ubaguzi wa mazishi na huduma nyingine za kiroho kwa wale ambao wanaonekana kutoshiriki kwa kiwango cha kuridhisha shughuli mbalimbali za madhehebu yao.
Yeah hii ni idea kubwa sana unakua na company ya mazishi...Nadhani Sio Kazi ya Serikali. Ni Kazi ya Wanajamii wafanya Biashara kuiona na kuichangamkia Fursa hiyo...
Ni maeneo ya kijiji, kijiji ndio Serikali,sema kijiji ugawa pande mbili upande wa Wakristo na wa waislamu hata mijini makaburi mengi ni ya serikali na Serikali ya mtaa ndio ugawa pande zote mbili sawa.Mi hoja ya mtoa mada nimeielewa, japo na Mimi sijapenda alipotaja na "misikiti", angetaja makanisa tu.
Hoja... Maeneo ya vijiji vyenye wakristo wengi huwa kuna makaburi ya makanisa tu, hakuna makaburi ya serikali (vijiji), sasa mtu asie muumini au aliyetengwa akifa inabidi azikwe nyumbani kwake, au kwao au kwenye vichaka vya matambiko ya machifu, hii so sawa, lazima kuwa na Sheria inayolazimisha kila Kijiji kuwa na eneo la kuzikia wananchi nje ya maeneo ya makanisa
Ikiwezekana kusiwe na maeneo ya makanisa, kuwe na maeneo ya kiserikali tu kwa watu wote
Mbona jamii inakuzika tu au nako haukubaliki ?Katika kufanya utafiti wangu binafsi, Nimegundua kuwa Kuna kundi kubwa sana la jamii ambao hawaamini au hawasali katika dhehebu Wala dini yoyote.
Katika kundi hili wapi wengi ambao hulazimika kwenda Makanisani au msikitini kwa sababu moja tu. Sababu kuu ni hofu ya mazishi pindi wanapokufa au kufiwa na wapendwa wao.
Hata Makanisa na misikiti imekua ikitimia kigezo Cha MAZISHI kama njia ya kumkomoa mtu ambaye hajashiriki kikamilifu katik mambo ya dhehebu lake.
Sas ni wakati maalum wa Serikali au watu binafsi kuanzisha Makampuni ya MAZISHI ili kutoa haki kwa Kila mmoja kustiriwa kadri apendavyo.
Kotekote mkuuUkienda Msikiti wa Maamur pale Upanga utaona pameandikwa Huduma za Mazishi ni 30,000 ila kama hauna hela ni bure, unapewa Gari ya maiti, facilities za kumsafisha marehemu na mambo mengine. Kifupi kwa waisilamu alichosema mtoa mada hakipo, hatuachi mtu awe mzoga,
Kama mtu sio muisilamu hatutomswalia tu, ila tunamzika.
Sijui kijijini kwenu unakotoka kuna hali gani kiuchumi na uwezo wa serikali kujisimamia but nachojua mimi ktk mkoa ninakotokea wilaya zote zina cemetery centers kwa ajili ya wasiokuwa wakazi wa hizo wilaya eg wafanyakazi wa serikali etc na hazimilikiwi na makanisa wazawa tunazikana kwenye mashamba ya familia.Mi hoja ya mtoa mada nimeielewa, japo na Mimi sijapenda alipotaja na "misikiti", angetaja makanisa tu.
Hoja... Maeneo ya vijiji vyenye wakristo wengi huwa kuna makaburi ya makanisa tu, hakuna makaburi ya serikali (vijiji), sasa mtu asie muumini au aliyetengwa akifa inabidi azikwe nyumbani kwake, au kwao au kwenye vichaka vya matambiko ya machifu, hii so sawa, lazima kuwa na Sheria inayolazimisha kila Kijiji kuwa na eneo la kuzikia wananchi nje ya maeneo ya makanisa
Ikiwezekana kusiwe na maeneo ya makanisa, kuwe na maeneo ya kiserikali tu kwa watu wote
Amesema maiti isiyokuwa ya Muislam wanaizika kama wanavyofanya serikali (kama umewahi shuhudia yale mazishi ya municipal kuzika na grader).Kwani waislamu mnasilimisha maiti?
Peleka ujinga wako hukohuko kwenu. Misikiti hatuna ujinga wa kubaguwana.Katika kufanya utafiti wangu binafsi, Nimegundua kuwa Kuna kundi kubwa sana la jamii ambao hawaamini au hawasali katika dhehebu Wala dini yoyote.
Katika kundi hili wapi wengi ambao hulazimika kwenda Makanisani au msikitini kwa sababu moja tu. Sababu kuu ni hofu ya mazishi pindi wanapokufa au kufiwa na wapendwa wao.
Hata Makanisa na misikiti imekua ikitimia kigezo Cha MAZISHI kama njia ya kumkomoa mtu ambaye hajashiriki kikamilifu katik mambo ya dhehebu lake.
Sas ni wakati maalum wa Serikali au watu binafsi kuanzisha Makampuni ya MAZISHI ili kutoa haki kwa Kila mmoja kustiriwa kadri apendavyo.
Fungu la kumi ni maagizo ya muumini kama sehem ya ibada.Peleka ujinga wako hukohuko kwenu. Misikiti hatuna ujinga wa kubaguwana.
Hivyo vikwazo mnalzimishwa makanisani kwa ajli ya fungu la kumi, hakuna ujinga huo msikitini.
Hakika iwe ni sheria na sio utashi wa kikundi fulani eneo maalumu litengwe.Mi hoja ya mtoa mada nimeielewa, japo na Mimi sijapenda alipotaja na "misikiti", angetaja makanisa tu.