Sifa na kazi za Mchungaji wa kanisa, huduma au taasisi ya dini

Nov 16, 2023
14
22
Zab 23:1-7, Mithali 3:1-4, Zab 1:1-3, 1Kor 2;6-15, Kut 3:1-9

=========================
Mchungaji aliyeokoka anayeongoza kundi au waumini, ni lazima awe na sifa zifuatazo:

i. Awe mfano kwa tabia na mwenendo.

ii. Asitamani mali za anasa zitakazo mtoa nje ya kusudi alilopewa.

iii. Aepuke fedha za aibu.

iv. Awe mtu wa maombi kuliko waumini wake.

v. Atenge muda wa kujisomea biblia, na aandike ufunuo atakaoupata wakati anaitafakari biblia.

vi. Akubali kushauriwa.

vii. Asiwe m’babe.

viii. Ni lazima awe na karama ya kupambanua roho.

ix. Aombe apewe hekima ya kuongoza kundi.

x. Yeye na mke wake au mume wake, wavae mavazi ya adabu.

xi. Ahakikishe watu wake wanaimarika kihuduma na kiroho ili wawe watu wa kuaminiwa katika kazi mpya itakayo anzishwa hapo baadae.

xii. Awe amejaa nguvu za Mungu na mamlaka.

xiii. Awatembelee waumini wake bila ya ubaguzi.

xiv. Lazima awe amejaa Roho Mtakatifu.

xv. Kanisa lake ni lazima liwe na umoja.

xvi. Huduma yake iwe bora na isababishe huduma chipukizi kuinuka na kupiga hatua.

xvii. Huduma yake ya uchungaji, inatakiwa iwe chanzo cha kuboresha na kutoa nafasi ya malezi bora ili kuinua huduma nyingine kanisani.

xviii. Awe mtu wa mipango ili kanisa listawi kiuchumi na kuondoa hali ya ufukara kwa waumini wake.

xix. Lazima kanisa analolichunga liwe na idara muhimu ambazo zitakuwa kichocheo Cha maendeleo ya kiroho na kiuchumi. Mfano: umoja wa wamama, umoja wa vijana, umoja wa wababa, kwaya na baraza la wazee.

xx. Kanisa lake ni lazima lionyeshe upendo kwa jamii inayowazunguka karibu na kanisa.

xxi. Shughuli za Uchumi na Maendeleo Ni MUHIMU Sana kwa KANISA au Taasisi Yoyote Ya Dini. Maana Kanisa au Taasisi yoyote Ya Dini, haiwezi kufanikiwa Kiuchumi, au Kufanya shughuli zake za Maendeleo kwa Kutegemea Sadaka PEKEE, Haiwezekani.

Ni muhimu iwepo Miradi mbalimbali Ya Uchumi, itakayoingiza Pesa za kutosha kwa ajili ya Ustawi wa Kanisa au Taasisi Hiyo Ya Dini.

________

MWL JORDAN GADI TWARINDWA.
0689495579
Image_1699574321105.jpg
 
View attachment 2818755

Barikiwa sana mtumishi.
 
Umenena vema mtumishi
 
✅🙏
 
Back
Top Bottom