technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Mtakubali!Naomba okoa pesa za walipa kodi tukanunue madawati watoto wetu wamefaulu kwenda sekondari kwenda kukaa chini uku tukifanya uchaguzi fake wa mabilioni.
StoneUnapoteza muda kumu address mtu asiesikia, mtu mjuaji, mtu anaejiona alpha na omega huyu atakuja sikia lkn Kwa sasa kaziba masikio
kwani kuna uchaguzi? mnashindana na nani wakati fomu ziko za ccm pekeeTechnically, badala ya kushauri yasiyowezekana, washauri wanachama wenu wasigombee kama mlivyowashauri wasijiandikishe.
Sisi tuliojiandikisha hata kama ni watano kwenye mtaa tuache tuendelee na uchaguzi maana tunajua umuhimu na uthamani wa uchaguzi.
Sasa shida mzee baba Atapataje hela za mabeberu, ndio alihaha sana alipoona wananchi wamegoma kujiandikisha, akaamua siku ziongezwe ili data zibumbwe. Kutwa kuwananga mabeberu mabeberu akiugua anakimbilia huko huko, msaada anakimbilia huko huko na Kabudi wake kutembeza bakuri.Sisi Watanzania tumeamua uchaguzi usifanyike, Rais wetu mpendwa anapendwa na watanzania woote, Chama chetu CCM kinapendwa na Watanzania woote.. Kufanya uchaguzi ni kupoteza hela na muda.. Tufanye CCM imeshinda mitaa yote na hata 2020 CCM iwe imeshinda Urais, Ubunge na Udiwani majimbo yote kifupi iwe 100%.. Ikiwezekana Upinzani nao ufutwe usiwepo..
Tuelekeapo 2020 nafikiri tunahitaji mjadala wa kitaifa kwa mambo mengi ya msingi ikiwemo uendeshaji wa shughuli za kisiasa zilizopo kikatiba na kisheria, na hata usimamizi wa chaguzi za ndani. Nasema hivyo kwa kuwa, hapa tulipofikia hakika tuna mkwamo mkubwa ambapo wenye dhamana wameahindwa kuusimamia kwa weledi na maadili.Watu hawajajitokeza kujiandikisha uchaguzi wa nini? Hakuna uwanja sawa wa kufanya siasa kati ya upinzani na ccm uchaguzi wa nini? wapinzani wanachaniwa form zao uchaguzi wa nini?
Watendaji wanakimbia ofisi kisa upinzani uchaguzi wa nini.
Yote aya uliyataka mwenyewe baada ya kuzuia siasa mpaka 2020 je 2020 imefika?
Naomba okoa pesa za walipa kodi tukanunue madawati watoto wetu wamefaulu kwenda sekondari kwenda kukaa chini uku tukifanya uchaguzi fake wa mabilioni.
technically umekosea aya ya mwisho. Hapo kwenye madawati ungeweka ndege, ungesikilizwa.Watu hawajajitokeza kujiandikisha uchaguzi wa nini? Hakuna uwanja sawa wa kufanya siasa kati ya upinzani na ccm uchaguzi wa nini? wapinzani wanachaniwa form zao uchaguzi wa nini?
Watendaji wanakimbia ofisi kisa upinzani uchaguzi wa nini.
Yote aya uliyataka mwenyewe baada ya kuzuia siasa mpaka 2020 je 2020 imefika?
Naomba okoa pesa za walipa kodi tukanunue madawati watoto wetu wamefaulu kwenda sekondari kwenda kukaa chini uku tukifanya uchaguzi fake wa mabilioni.
Technically, badala ya kushauri yasiyowezekana, washauri wanachama wenu wasigombee kama mlivyowashauri wasijiandikishe.
Sisi tuliojiandikisha hata kama ni watano kwenye mtaa tuache tuendelee na uchaguzi maana tunajua umuhimu na uthamani wa uchaguzi.
Uchaguzi huu wa serkali za mitaa ndio kaburi la upinzani ,tulia utaona
State agent