Serikali hoi kifedha, Sasa kukopa...

Hao police na walimu wasipopewa mishahara ni sawa tu.kwanza ndio wanaoisaidia ccm kuiba kura na hivyo kuendelea kuwepo madarakani kwa hila zao,pili Jk alikataa kura zao still wakampa-Big up Jk-Kaza uzi zaidi
 

Napenda watu wenye intelligent analysis kama PASCO. Kwa sisi tulio ughaibuni hii inakuwa food for thought.

Ila PASCO kitu kimoja huja realise uliposema fedha za mishahara ziko always safe. Tangu aje madarakani JK nadhani amechukulia serikali kama kitu chenye 'limiless resouces'. Hii ndiyo hasa dhana ya watu wasioelimika juu ya serikali. Sijui vipi yeye pia anayo hiyo. Labda kwa sababu alitegema sana wafadhili.
Pili: aina ya uongozi wake ni ule tunaouita usio na nidhamu (fiscal discipline) katika masuala ya matumizi ya fedha. Sitashangaa ameamuru kuchukuliwa fedha zilizopangiwa mambo mbali mbali ku- fund mambo mengine, aghalabu ya kiufujaji. kwa hiyo hakuna hiyo safety ya fedha za mishahara chini ya serikali ya JK.
 
Kuna CCM mbili:CCM imanini na CCM maslahi-Warioba.

Wengi wenu leo ni CCM maaslahi!

Warioba alibwagwa na Mwinyi uwaziri mkuu kwa maslahi ya Taifa.

Huyo mzee kigeugeu, nna mashaka anatumia bangi kwa wingi sana kupita kiasi.
 
Kuna mtu anaitwa Waitara hivi yupo wapi siku hizi?Post yako imenikumbusha huyu kamanda
 
Wahaya bana, kwa kuwa mgao wa dada yako umekukosa basi unaona na wewe utolee machungu yako humu jf! duh!

Duh! Umekosea sana, mimi sio Mhaya na wala sitokei kanda ya ziwa.
Wasubiri Wahaya uje ujadili nao issue za ukabila kama watakuwa na muda.
Ova
 
Inauma sana kodi inakusanywa kidogo watu wachache wanagawana pesa then serikali kwa maksudi kabisa inakataa pesa ya escrow eti si ya umma huku wabunge wengi wa ccm wanashangilia kuwa wameshinda eti pesa si ya umma sasa wamepata nn wengine hata mgao hawajapata mfano asumpta mshana leo wafadhili wamegoma hali mbaya jamani hii nchi.
 

Mwigulu atatekeleza ilani gani ya tofauti? Hawa ni kopo na mfuniko. Chama kimeoza jumla jumla. Kinahitaji overhaul, sio repair
 


We dada nimekuvulia kofia..
Hivi nikwanini wafuasi wa JK niwaongo na wanafiki kiasi hiki!!?
 

Hazina gani imefurika wewe? hazina ingefurika tungelipishwa kodi? kasome takwimu, kaikuta reserve ya nchi hata miezi miwili haifiki, yeye sasa hivi ana ya miezi sita. Fikiri.

Huyo wengine hatumsamehi ndiyo aliweka misingi mibovu ya kutufikisha tukawa masikini wa mwisho duniani.
 
Uongo mtupu.

Sasa ukweli ni upi? Nenda hospital kama hujaambiwa kanunue drip duka la dawa mimi nimeenda temeke hosptl hali iko hivyooo kwani we dada unamatatizo ya akiri au? We kila kitu unaona ccm wanaonewa.
 

Usitegemee takwimu zinazorushwa tu huku na huku. Third world inajulikana kwa uongo na ndiyo maana hawachapishi kitu. Miezi sita? Haya na alipe mishahara basi!
 

mwanzo nilijua wewe ni dada laaa aisee kumbe ni bibi
 

mkuu hujui kuwa bjeti yetu mara nyingi ni kiini macho, haya matumizi ya anasa ya serikali si lazima bajeti ya maendeleo itakua inachakachuliwa
 

Kweli nimeamini we ni mwendawazimu unasahau maendeleo ya sayansi na teknolojia yamekua kwa kasi usifananishe karne ya 17 na karne ya 21 yaani hata innovation hujui kweli wewe kama ulikuwepo kipindi cha nyerere na unatetea ujinga basi laana ya mwalimu inakumaliza eti kikwete kafanya mazur kuliko Rais yeyote aliyetangulia duuuuh kama kizazi chako utakuwa umekilishisha huu ujinga wako basi umeua ukoo wako wotee.naamini kwa haya unayoyafanya wewe hujafka hata miaka 40 unaxuga tuu
 
Mkuu Faiza Foxy nisaidie.mimi ni mgeni hapa jamvini,huwa ninaona kila uzi unaoihusu serikali na Jk, wewe ndiye unakuwa mteteze mkuu na unatetea kwa nguvu zako zote either kwa kutumia pumba(big %) or mchele (less %).1.Wewe ni nani kwenye serikali yetu?2.Je umeajiriwa kwa kazi hii tu au unakazi nyingine?3.Je unapotukana watanzania (sometimes) huoni kama unaifitinisha serikali na wananchi wake?4.Je umewahi kufanya tadhimini ya kazi yako hapa jamvini?5.Matokeo uliyaonaje?6.Je huoni kama majibu na hoja zako hapa jamvini zinawafanya watu waichukie zaidi ccm,serikali na Jk?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…