Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,178
- 162,659
Kikwete hatumtaki tumemchoka aondoke zake na tumchukie...hafai hata kidogo..ametuharibia nchi.ni bora nchi iongozwe na jeshi kuliko kuwa rais fake kama kikwete.
Ishakuwa mambo ya jeshi tena!!!Kikwete hatumtaki tumemchoka aondoke zake na tumchukie...hafai hata kidogo..ametuharibia nchi.ni bora nchi iongozwe na jeshi kuliko kuwa rais fake kama kikwete.
Usimsingizie Nyerere wa watu muache apumzike huko aliko! Kama mlifahamu nchi hii ilifirisika tangu zamani kwanini mlituongopea Mwaka 2005 "MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA!?" hamkuishia hapo mkaendelea kutuongopea "ARI MPYA, NGUVU MPYA NA KASI MPYA" viko wapi!? Hivi si ndiyo nyinyi mlituletea sera ya KILIMO KWANZA!? Kimeleta faida gani!?
Umeona tu kipindi cha Nyerere?
Na kipindi cha Mzee Ruksa mbona usemi au kwa kuwa ni kaka yako!
Sema awamu zote tatu nchi ilifilisika bila kusahau hii awamu ya nne.
Sababu kubwa ya kufilisika kwa awamu zote tatu ni kutolipwa madeni ya nje (ya kimataifa).
Ebu Faiza tuambie from the bottom of your heart, sababu ya kufilisika kwa hii awamu ya nne ni nini hasa?
Nikuambie kitu dada yangu..kuna masuala ambayo ccm na serikali yake haibebeki..ni mwendawazimu tu anaweza kuwatetea au kuitetetea..kila kitu kiko wazi..nakushauri ukiona thread kama hizi wewe sepa..usi comment ..watu hawatakuelewa na watakushukia kama mvua!utakufa kwa presure..mafisadi wenyewe wanafaidi..lbd na wewe ni moja wao!
mzee akakope majuu
Huu uzi nusu ya comments zake ni kwa hisani ya FaizaFoxy !
we jamaa inaonesha uko kwenye kampeni maalum!
Wamaichagua=wameichaguaNaona sasa umekosa hoja. Watanzaia 80% juzi wamaichaguwa CCM.
Myinyi hasira zanu za kubwagwa mnakuja hapa kubwabwaja, kwanza muelewe Serikali siku hizi si ya ujamaa, uchumi upo mikononi mwa raia, au wewe ndiye umefilisika? unaanza kubwabwaja na kulalama bila mpango?
Hasira za kipigo kitakatifu mtabwabwaja sana, lakini tupo hapa, uongo wenu hauna nafasi.
MermermerkoHuu uongo wenu hauwasaidii kitu unazidi kuwaumiza roho zenu tu.
Watanzania leo hii tukipewa choice tunataka Kikwete aendelee kutuongoza kwa miaka mingine 10.
Hakuna Rais Tanzania hii wa kabla ya Kikwete aliyeyafanya hata nusu ya mema kwa Tanzania hii kama alivyofanya Kikwete.
Nioneshe ni yupi na lipi au changanya wote kwa pamoja.
Pasco bhana yani unaongea kama vile sio mjanja tena; hivi kukiwepo na fedha kwenye deposit account haziwezi kuhamishwa kwenda reccurrent account kuokoa jahazi na makusanyo yakiingia zikarudishwa deposit account? sasa kama deposit ni kweupe serikali ikope wapi kuboost recurrent kama sio kwenye mabenki?Labda kama tuna matatizo mengine, fedha zilizozuiliwa na wafadhili, sio ile General Budget Support kupitia Busket Funding, ni development budget, hivyo zile sio fedha za kulipia mishahara!. Hata fedha za MCC pia sio fedha za kulipia mishahara!.
Kama ni kweli Watumishi wa umma wamekosa mishahara, then tuna tatizo kubwa kuliko tunavyo jidhania!.
Pasco.
Unausikia=unasikiaIlifilisika wakati wa Nyerere. Wakati hatuna hata cha kukila.
Leo mambo swaaafi kabisa, na wala hamumstui mtu humu, Serikali iliyofilisika unaijuwa wewe ulikuwepo wakati wa Nyerere au unausikia tu?
Hiyo hali mbaya ya kifedha wewe imekuathiri nini? ulikosa mchele dukani? ulikosa unga dukani? ulikosa maharage dukani?
Wacha porojo. Ngoja siku ukose vyote hivyo ndiyo uje humu kubwabwaja. Hamjakuwepo wakati hii nchi imefilisika tuulizeni sisi tuliokuwepo wakati wa Nyerere.
Ukiona mtu anaanza matusi ujuwe umemshinda kwa hoja.
Hiyo hali mbaya labda unayo wewe si nchi. Wakati hii nchi ilipokuwa na hali mbaya tulikuwepo. Wacha porojo.
Nchi ingekuwa na hali mbaya wewe ungeweza kuingia mtandaoni? hayo mafuta ya kukuwashia mitambo ya umeme ungeyatowa wapi? fikiri, wacha kulishwa uongo na wewe kama msukule unaamini tu.
Tunataka mishahara yetu,mwaka mpya tutauanza vp?
unh kumbe mishahara yote ya wafanyakazi wa serikali ni 300 bilioni. zile pesa za escrow zinazosemakana kuchotwa.. zingelipa wafanyakazi kwa mwezi huu? how ironic