Prof Chinchi
Member
- May 6, 2014
- 7
- 2
Mie natamani hali ya serikali, na wananchi izidi kuwa ngumu na mbaya [kwa nia njema] ili ifike mahali tujue umuhimu wa kutowachekea viongozi na watendaji wapuuzi. Kwa upuuzi unaofanywa sasa nhivi ni nguvu ya wananchi pekee ndo inayoweza kutoa ujumbe kwa viongozi kuwa tukiamua wao na familia zao hawabaki salama. Kitu kibaya, mijitu mingine hawajatambua hilo hivyo wacha tule shida wote mpaka akili itukae vizuri.
Mkuu huu Uzi usiingie kichwa kichwa. Ficha aibu.
Hiyo ni lugha rasmi hapo LumumbaHayo si matusi, hizo ni sifa.
Matusi ungeuliza? jaribu kuyaandika matusi, hayaandikiki humu.
Wawache kiswahili cha wapi hicho?Wawache na wawaache ni vitu viwili tofauti. Fikiri.
Ngoja nikupe darsa kidogo:
Wawache = uko peke yako, wako wengi nakwambia wawache.
Waache = wao wako wengi unawaambia waache wanachokifanya.
Wawaache = wao wako wengi unawaambia wawaache wengine (zaidi ya mmoja).
Mimi nimezaliwa kabla hii nchi haijapata Uhuru. Kumbuka hilo, Nyerere bado alikuwa anavaa kaptura na mimi mwenyewe nimeshamuuzia Nyerere sigereti dukani kwetu, nakumbuka zilikuwa sigara karata, ubavu na ubavu na ilipo sasa Makao Makuu ya Mkoa ya CCM.
Mbona hurudi basi ukashuhudia uzuri wa huyo jamaa yako we uko nje tu.
Yote uliyozungumza hapa uongo na upotoshaji wa hali ya juu kabisa.
Professionalism is your biggest problem-Ndiyo maana unachanganya mambo yenu ya kitandani na utawala wa nchi.Hivyo ni vitu viwili tofauti sana Shemeji yetu.
Hiyo hali mbaya ya kifedha wewe imekuathiri nini? ulikosa mchele dukani? ulikosa unga dukani? ulikosa maharage dukani?
Wacha porojo. Ngoja siku ukose vyote hivyo ndiyo uje humu kubwabwaja. Hamjakuwepo wakati hii nchi imefilisika tuulizeni sisi tuliokuwepo wakati wa Nyerere.
Kipindi hicho serikali ilikuwa inapigana vita na Nduli Iddy Amini. Saizi tunapigana na nani zaidi ya deni la taifa kukuwa kila siku??
Warioba alibwagwa na Mwinyi uwaziri mkuu kwa maslahi ya Taifa.
Huyo mzee kigeugeu, nna mashaka anatumia bangi kwa wingi sana kupita kiasi.
Wakati wa Nyerere nchi iliingia vitani na Uganda. Saizi tunapigana na nchi gani zaidi ya deni la Taifa kukua kama kuku wa broiler??
Kuna member mmoja alikuambia 'Professionalism is your biggest problem' nafikiri alikuwa sahihi, kwa upeo wako wa kufikiri unadhani kila kitu kinajibiwa kwa ubishi.
Umepaliwa..?
Kwa huu at least nimeelewa FaizaFox ni mtu wa aina gani kisiasa. Shikamoo bibi, but bibi wengine wanalea wajukuu. We uko busy mitandaoni muda wote. Du huna wajukuu bibi. Hata mama yangu kazaliwa kabla ya usury (though hakuwahi kumuuzia Nyerere sigara). Ila kwa umri wake haezi kutukanana jf. Ni Salam tu bibi yangu.