Serikali futeni Mahakama za Ardhi kwani zimejaa wapigaji. Kesi zote za Ardhi rudisheni Mahakama za kawaida ili zikamilike mapema

Ni kweli bora zifutwe hazina faida yoyote zaidi ya kuongeza manyanyaso kwa wananchi

Kuna anko wangu ameporwa nyumba yake na kibaya zaidi alikuwa anaishi humo akatolewa kwa nguvu kesi ipo mahakama ya ardhi kwanza ilipangwa November mwanzoni imepigwa karenda hadi February bila ya kujiuliza miezi yote hiyo huyu mtu anaishije
 
Huwa hawajali hilo
 
Back
Top Bottom