Serikali futeni Mahakama za Ardhi kwani zimejaa wapigaji. Kesi zote za Ardhi rudisheni Mahakama za kawaida ili zikamilike mapema

Kesi nyingi za ardhi husababishwa na watu wachache ambao hutumia kutokuelewa sheria kwa wamiliki wengi wa ardhi.

Pia, cha muhimu zaidi ni kuwa kesi nyingi za ardhi zina criminal element na huweza kufanywa za jinai. Ila jeshi letu la polisi, na TAKUKURU bado uweledi wao ni wa kiwango cha chini.

Kesi nyingi za ardhi hutokana na forgery, intimidation, ikiunganishwa na corruption. Kwa hiyo mahakama zinazosimamia jinai zinatakiwa ziwe zinapewa kesi hizi. Tatizo inabidi uwe na lawyer mzuri.
 
Kesi nyingi za ardhi hutokana na forgery, intimidation, ikiunganishwa na corruption. Kwa hiyo mahakama zinazosimamia jinai zinatakiwa ziwe zinapewa kesi hizi. Tatizo inabidi use na lawyer mzuri.
Kweli kabisa kesi nyingi za Aridhi zinakua na Jinai ndani yake!!
 
Kesi nyingi za ardhi husababishwa na watu wachache ambao hutumia kutokuelewa sheria kwa wamiliki wengi wa ardhi.

Pia, cha muhimu zaidi ni kuwa kesi nyingi za ardhi zina criminal element na huweza kufanywa za jinai. Ila jeshi letu la polisi, na TAKUKURU bado uweledi wao ni wa kiwango cha chini.

Kesi nyingi za ardhi hutokana na forgery, intimidation, ikiunganishwa na corruption. Kwa hiyo mahakama zinazosimamia jinai zinatakiwa ziwe zinapewa kesi hizi. Tatizo inabidi uwe na lawyer mzuri.
Mambo kama hayo ndiyo chanzo kikubwa
 
Ni hivi, Mahakama za Ardhi zipo katika mtiririko huu.

1.Baraza la Ardhi la Kijiji (Kwa kijijini)

2.Baraza la Kata

3.Baraza la Ardhi la Wilaya

4. Mahakama Kuu Kitengo Cha Ardhi

5.Mahakama ya Rufaa

NB: Hapo utaona Mahakama ya Mwanzo sijaiweka kwa sababu, Mahakama ya Mwanzo husikiliza kesi za Ardhi ambayo haijasajiliwa na ile ambayo inamilikiwa kimila. Pia Mahakama ya Hakimu Mkazi na ile ya Wilaya hazina mamlaka kisheria kusikiliza kesi za ardhi.

Wingi wa kesi za Ardhi umetokana na umuhimu wa ardhi kwa maisha ya kila mtu. Huwezi kufanya Jambo la maendeleo bila ardhi. Biashara, kilimo, pesa, na kila kitu kinatafutwa kwenye ardhi. Ukitaka kusafiri utatumia Ardhi na hata ndege inatua ardhini.

Wingi wa kesi za ardhi ndiyo ulishawishi uwepo wa Mabaraza ya Ardhi Kata na Wilaya na kuwepo kwa Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi.

Uwepo wa rushwa na au ucheleweshaji wa kesi ni kutokana na umuhimu na ulazima wa ardhi kwa binadamu.

Ucheleweshaji wa kesi katika Mahakama au mabaraza unachangiwa na Mambo mengi ikiwemo wingi wa kesi, ugumu wa kesi, wingi wa wahusika kwenye kesi, pia uelewa mdogo wa sheria kwa baadhi ya wadau.

Kimsingi, hoja ya kutaka hizi Mahakama na mabaraza yafutwe siyo sawa kwa sababu kuzifuta itaongeza tatizo mara dufu.

Cha masingi ni kuboresha hudumu kwa kuongeza watumishi maana nacho ni chanzo.

Lakini kumbuka haki ikiharakishwa ni sawa na kuizika, ila ikicheleweshwa ni Kama imenyimwa.

Kwa hiyo kutoa haki haitakiwi kuharakishwa Sana, na haitakiwi kucheleweshwa Sana.

Sasa ni wakati gani haki inacheleweshwa au wakati gani inaharakishwa, inategemea ni mtu anavyoona.

Kimsingi kutoa haki na uamuzi siyo lelemama. Ni jambo linahitaji muda na busara Sana.
Wale mahakimu (wenyeviti wa mabaraza) na wazee wa mahakama wanakula rushwa ni balaa. Juzi wametoa hukumu yangu kipumbavu kweli, eti ardhi ina hati ya Lukuvi wanakuja kumpa ushindi mtu ambaye hana vielelezo vyovyote kutoka ofisi ya ardhi? Washenzi wakubwa, bahati yao Tanzania hatumiliki bunduki kiholela ningewamiminia wote risasi siku hiyo hiyo!
 
Ilikuwaje mkuu unaweza kutumegea ubuyu kwa kina
 
unailaumu bure tu mahakama
Tanzania ni nchi pekee ulimwenguni yenye sheria ngumu sana za Ardhi
Hata serikali haiwezi kuitwaa ardhi yako kienyeji mpaka wakupe taarifa
Kwa mujibu wa sheria ya Ardhi,ardhi sio mali yako wewe umepangishwa tu,wakati wowote Rais anaweza kuitwaa
Tofauti na nchi zingine kama kenya ardhi ni mali yako kama vile shati au gari
Absolute ownership of land - in Kenya
 
Wale mahakimu (wenyeviti wa mabaraza) na wazee wa mahakama wanakula rushwa ni balaa. Juzi wametoa hukumu yangu kipumbavu kweli, eti ardhi ina hati ya Lukuvi wanakuja kumpa ushindi mtu ambaye hana vielelezo vyovyote kutoka ofisi ya ardhi? Washenzi wakubwa, bahati yao Tanzania hatumiliki bunduki kiholela ningewamiminia wote risasi siku hiyo hiyo!
Sasa ikisha kua na hati ya Lukuvi, ndiyo haitakiwi kua questionable!?
 
Pole mkuu. Kingine, wale jamaa Wana uelewa mdogo na au finyu wa sheria.

Sheria za Ardhi ni moja ya sheria zinahitaji umakini Sana na mtu asome sana maana ni nyingi za zinashughulikia rasilimali nyeti.
 
Mkuu dmkali popote alipo binadamu lazima kuwe na elements za dhuluma. Zamani watu walikuwa wanalalamika kuwa ajira kupitia halmashauri/wizara zimejaa rushwa hivyo wakaamua kuunda tume ya ajira (PSRS) na bdo tuhuma na malalamiko yapo palepale.
 
Pole mkuu. Kingine, wale jamaa Wana uelewa mdogo na au finyu wa sheria.

Sheria za Ardhi ni moja ya sheria zinahitaji umakini Sana na mtu asome sana maana ni nyingi za zinashughulikia rasilimali nyeti.
Wanajuwa kila kitu wanachofanya,sema rushwa wameiweka mbele sana!!
 
Sasa ikisha kua na hati ya Lukuvi, ndiyo haitakiwi kua questionable!?
Kuwa questionable ndio UMPE ushindi mtu ambaye hana karatasi kutoka ofisi ya ardhi? Mnapenda sana kula rushwa mtakuja kufa hivi hivi kizembe! Sasa nimewapelekeni kwa Jaji mtajua kama hamjui!
 
Manjagata labda hukunielewa,na maanisha hata Kama ana hati ya Lukuvi bado anatakiwa aelezee Mahakama hiyo Aridhi ameipataje hadi yeye akawa mmiliki!? Pole Dada najua umechezewa faulu,lakini usikate tamaa haki ya mtu haipotei bali muda mwingine huchelewa tu!!
 
Nimekuelewa mkuu lakini mimi siyo dada!😁😁😁
 
Tuko pamoja mkuu! Tunapambana kama itabidi kufika kwa Magu nitafika hawa jamaa wajinga sana! Yaani hakimu elfu 50 inamtoa ufahamu kabisa anafanya vitu vya kijinga!
Samahani Kaka,jina kidogo lilinichanganya!! Ila pambana usikate tamaa Aridhi ni Mama!!
 
Back
Top Bottom