Serikali 3 na gharama zake

Serikali 3 na gharama zake

unajua wengi tunaotaka s3 tanganyika na zanzibar hatunashida na muungano maana hatuoni faida zake kiuchumi zaidi ya kuwa ngazi ya watanganyika na wazinzibar kutawaliwa kimabavu sasa ndio kusema ccm wanamapenzi sana na wa tz? mbona wanashiba wao tu?
 
usijitoe ufahamu wa kuona ccm inawapenda sana watanzania mpaka kuwalazimisha kuungana kwa nguvu hapana ila ni njia ya kuendelea kututawala milele kama kweli ccm wangekuwa wanatupenda wangegawana migodi yetu kama tunavyoona leo?
 
anaetaka muungano aungane yeye kwa nafsi yake sio kulazimisha watu wengine kwani ccm wakiungana wao alafu sisi watanganyika na wazibar tukaachwa kama tulivyo kuna shida gani eti muungano utalindwa kwa galama yoyote ile mtuue bas wote hatutaki muungan
 
alafu mnaropoka eti wananchi wanataka tu maendeleo na si s3 wananchi sindio sisi hapa jf tuliomacho kufuatilia hii nchi jinsi inavyoliwa watanzania wengi hawana elimu bado niwajinga wala hawajui kinachoendelea hata dodoama wacha sisi tuseme tunaojua
 
jiwe la maji, sasa kama huutaki muungano unaitaka katiba mpya ya nini?
 
Last edited by a moderator:
andara;10296423]Nguruvi3Nachopinga mimi ni muundo wa serikali 3 unaoweka mambo 7 yasokuwa na umuhimu kwa nchi husika kuunda muungano wetu isipokuwa ni kuubomoa na kuunda shirikisho kama NATO ama nchi za Ulaya la majeshi na maswala ya mambo ya nje of which Zanzibar na Tanganyika hatuna haja wanaweza yamudu wenyewe na sii priority ya wananchi.
Mkandara , wzn wamelalamika 22 ni mengi, leo unaendaje kuwaambia yote ni ya muungano? Sio wewe uliyewahi kusema Tanganyika imeingiza mambo kinyemela. Leo unabadilisha poisition. Mkuu ! please unachanganya umma. Hatuna tatizo kama unajichanganya, unapogusa umma inatuuma Na nasema wazi kwamba tukitaka serikali 3 basi ni lazima mambo yote yawe ya Muungano kama walivyopanga waasisi wetu kama hatua ya kufikia muungano kamili ambayo inapelekea hisia za serikali moja, lakini sisi tutagawa mamlaka ya kuendesha shughuli za serikali uwe wa pande mbili kwa serikali ya Bara na Zanzibar. Ok, nimekuelewa! yaani tuwe na serikali ya Tanganyika na Zanzibar halafu serikali moja ambayo ni ya shirikisho.
Hapa nimekuelewa vema.
Wingi wa serikali hauondoi watataizo ya wananchi bali malengo ya kuunda serikali hizo ni kuboresha utekelezaji wa shughuli zake na hapa sioni kabisa fikra hizo zikitumika kujenga hoja. Tuna serikali hadi za mitaa na hazitazamwi kuboreshwa kwake isipokuwa Utanganyika na Uzanzibar.
Upo katika rekodi zangu nilizoangalia leo ukisema kuwa, znz ipewe nafasi ya kumiliki uchumi wake. Kwamba, JMT imeinyima nafasi. Znz haiwezi kukopa wala kupata misaada. Sasa mkuu, huoni malengo ya serikali 3 ni kuboresha shughuli zake kama ulivyosema kwa Zanzibar.

Ndio maana Watanganyika tunasema, tunataka fiscal autonomy kwasababu kuu mbili
1. Kuacha kuwa ndani ya koti, na hivyo kuwapa znz nafasi ya kujiendeleza kiuchumi
2. Tanganyika kuwa na fiscal autonomy ili nayo kama znz iweze kupanga shughuli zake bila wasi wasi kama ilivyo sasa.
Unajua zamani toka tuunde Muungano wetu tulikuwa na rais na makamu wa rasi wawili, Jumbe akiwa makamu wa kwanza na rais wa Zanzibar na Kawawa akiwa makamu wa pili na msimamizi wa mambo ya Tanganyika. Hivyo tukawa na Utatu ndani ya nchi 1 jambo ambalo halikuleta utata hadi mwaka 1977 tulipoandika katiba Mpya.
Mkuu naona kumbu kumbu zako zina 'rust'. Utata wa muungano ulianza siku nyingi. Hayo mambo 11 yalipofikia 2o ilikuwa wakati huo unaosema utatu haukuwa na shida. Hapa umepotosha vizuri sana
Hivyo basi, tukubali kwanza uwepo wa serikali 3 utakuwa na manufaa gani katika Muungano wetu badala ya kuanza kunyoosheana vidole kwa sababu tu Mnaitaka Tanganyika. Hakuna mahala napingana na wazo la serikali 3 isipokuwa siii kwa Utanganyika bali kama sababu zitakuwa ni kurahisisha utekelezaji wa shughuli za serikali maana wananchi wanayataka maendeleo lakini muundo uliopo umekuwa kikwazo cha maendeleo hayo.
Mkuu, kwani Utanganyika unakuuma nini?
Kwanini usizungumzie uzanzibar unadhani Utanganyika ni uhalifu.
Mkuu nani amepanda mbegu ya Utanganyika? Nani amekuza jina la Tanganyika.
Kwani huelewei ni haramu mzn kuwa Mtanzania.

Pili, haiwezekani hata siku moja ukwa na JMT yenye znz halafu ukasema kuna Tanganyika nje ya hapo.
Mkuu huko ndio kuvaa koti kwenyewe tunakotaka kuvua.
Sijui ni kitu gani kinakuuma kuzinduka kwa Tanganyika hadi unafikia mahali kuita Tanzania bara, nchi isiyojulikana isipokuwa kwako tu mwenyewe.

Hatuwezi kuishi na malalamiko ya wzn kila siku. Tunashindwa kufanya shughuli za nchi yetu tukihangaika kuwapendeza na vikao visivyo isha. Tunatatukanwa tukiwa tumewabeba mgongoni.
Yote hayo hayana return ya aina yoyote kwa Mtanganyika

Tunataka kuvua koti Mkandara, na wznz wantaka tuvue koti. Kipi unaona kina tatizo?
 
Mkuu nakuomba sana wewe na Nguruvi3, kina jassu na wengine msikilizeni hotuba ya mwalimu kwa makini isha jifikirieni nyie mmesimama wapi..Hotuba
Mkandara,
Demand and need for Tanganyika inaweza angaliwa Katika sura kuu Mbili. Sura ya kwanza ni demand and need for Tanganyika government as a matter of principle. Sura ya pili ni demand and need for Tanganyika as a matter of retaliation on Zanzibar. Throughout, mwalimu hoja zake zimekuwa zikiegemea zaidi kwenye formation of Tanganyika as a matter of retaliation huku akionya juu ya Madhara yake. Lakini kwenye upande wa formation of this long overdue government as a matter of principle, mwalimu alipwaya sana na alijua Hilo lakini it was easy to justify and defend under party state politics intermixed na Cold War. Sasa kuna haja ya kuwapa watanganyika serikali Yao as a matter of principle, na kitendo cha CCM to delay towards that end pengine ni a deliberate move ya kupeleka watanganyika kwenye Madai ya Tanganyika Yao as a matter of retaliation ili Yale ambayo mwalimu alionya yakijitokeza, CCM ije na hoja yake juu ya Amani na utulivu ndani ya muungano.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cc Mag3, Jasusi, JokaKuu, Bongolander, Kobello, Nguruvi3

Labda kwa kutufafanulia tu,tuelezee on what principle, serikali ya Taganyika itakuwa justified.

Serikali ya Tanzania,kwa mfano ipo under the principle of African Unity and anti-colonialism (It was also a Zanzibars's principle since Shamte's time), it was also a Kenyan principle as explained by Tom Mboya etc...

Mimi naona ni uongezaji wa gharama tu.
 
Mkuu Kobello,

Pengine nikuulize - je, tunaweza fanya mambo yote ya Tanganyika na Zanzibar yawe ya muungano?

Kuhusu gharama - je ni Zipi hizo zitakazo ongezeka ambazo chini ya serikali Mbili hazipo?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mkandara,
Demand and need for Tanganyika inaweza angaliwa Katika sura kuu Mbili. Sura ya kwanza ni demand and need for Tanganyika government as a matter of principle. Sura ya pili ni demand and need for Tanganyika as a matter of retaliation on Zanzibar. Throughout, mwalimu hoja zake zimekuwa zikiegemea zaidi kwenye formation of Tanganyika as a matter of retaliation huku akionya juu ya Madhara yake. Lakini kwenye upande wa formation of this long overdue government as a matter of principle, mwalimu alipwaya sana na alijua Hilo lakini it was easy to justify and defend under party state politics intermixed na Cold War. Sasa kuna haja ya kuwapa watanganyika serikali Yao as a matter of principle, na kitendo cha CCM to delay towards that end pengine ni a deliberate move ya kupeleka watanganyika kwenye Madai ya Tanganyika Yao as a matter of retaliation ili Yale ambayo mwalimu alionya yakijitokeza, CCM ije na hoja yake juu ya Amani na utulivu ndani ya muungano.

Cc Mag3, Jasusi, JokaKuu, Bongolander, Kobello, Nguruvi3

Sent from my iPhone using JamiiForums

Mchambuzi naweza kusema G55 walileta move ya serikali ya Tanzania kwanza kwa kujua ni haki ambayo CCM imeikanyaga na pili ilikuwa ni retaliation kutokana na siasa za matusi, kejeli na ulevi wa madaraka wa Salmin Amour. Lakini sidhani kama walikuwa na sense ya unfairness ya kiuchumi dhidi ya Tanganyika ambayo Nguruvi3 anaileza kila siku vizuri sana. Kwa sasa issue kubwa kuhusu mfumo wa muungano ni economic injustice inayofanywa na Zanzibar dhidi ya Tanganyika. Ajabu ni kuwa CCM inabariki injustice hiyo kwa maslahi yake.

Toka mjadala huu wa katiba uanze, mpaka leo hakuna mwana CCM hata mmoja ambaye amatoa hoja yenye akili kutetea serikali mbili, za sasa na zilizobadilishwa. So far wanaotoa maoni ya CCM wanatoa kwa kutozingatia facts, kwa uoga, na kwa unafiki. Ukisikiliza kwa makini utajua kabisa kuwa maoni yao hayatoki mioyoni mwao.

CCM kwa sasa iko njia panda, serikali mbili kulinda sura yake, serikali tatu kuabika na kulinda muungano na utulivu.
 
Naunga Mkono hoja. Kama ulivyojadili, Nguruvi3 amekuwa analieleza vizuri sana suala Hili la economic injustice inayofanywa na Zanzibar dhidi ya tanganyika. Lakini Ukisema hivyo, wengi wanaanza sema ni hoja za kupandikiza chuki na ubaguzi, hasa conservatives wa CCM.. Lakini znZ wakati wote wamekuwa pro Tanganyika kwani Hilo litasaidia kuipa znZ more autonomy. Kwahiyo the economic injustice aforementioned is more of a creation of CCM na vibaraka wao Kule Zanzibar than position of Zanzibar as people. Kuna haja ya kutofautisha vitu hivi viwili - what is more correct?

1. je znZ wanataka Tanganyika? Je znZ wanautaka muungano?

2.je znZ wanahitaji Tanganyika? Je znZ wanahitaji muungano?

Haya ni mambo mawili tofauti ingawa yana uhusiano wa karibu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Dr.Mkandara anapashwa kuwa objective. Anajua hadi sasa hatujataabanisha muundo wa Tanganyika utakuwaje. Wakati ukifika tutashona koti kulingana na maumbo yetu. Ebufikiria tuna haja ya kulipa kodi kuendesha mfumo ya mkuu wa wilaya sambamba na mkurugenzi wa halmashauri? Katibu taarafa je? Tija ipi ya kuwepo majimbo 2 wilaya ya muleba. Mbio za mwengeje? Mkandara umeisha fanya hesabu kwa bajeti ya trillion 20 kwa wtz mil 45 ni kodi ya laki 8 kila mtz. Ukajua kodi ya kijiji watu 1500 ni bil. 1.2 ukalhnganisha na maendeleo yaliyotengewa kijiji kwa matarajio ya hayo mapato tokana na kodi? Kwa nn uione kodi ndio tatizo wakati kodi tunayolipa sasa haitumiki inavyostahili? Selikali tatu haitatumiza kigharama kama pia mapendekezo ya uwazi, uadilfu na uwajibikaji vitakuwa tunu za taifa.
 
Mchambuzi kuangalia kufufua Tanganyika kwa jicho za Zanzibar, is a bit misleading. Kwanza wazanzibar wanaotaka Tangayika irudi kimsingi ni wale wenye uchu wa madaraka, hasa wale ambao wanashindwa kupata urais, kutokana na Zanzibar kuwa kwenye muungano, sidhani kama wanaipenda Tanganyika kama Tanganyika.

Ukiangalia suala la Muungano kuna wazanzibar wanaotaka muungano (former ASP) ambao kutokana na trend ya sasa ya dunia and what is going on in middle east, theu are more vulnerable to being re-subjected again to similar tragedy pre mapinduzi, na wengine hawautaki (former Hizbu) wanaona kuwa kitumbua chao kinatiwa mchanga na serikali ya Tanganyika kwenye koti la muungano.

Lakini kwa mtu yoyote anayejua uchumi, Muungano una manufaa kwa Zanzibar kuliko ulivyo kwa Tanganyika. So in reality wanaitaka Tanganyika kwa sasabu za kisiasa na wanaihitaji Tanzania kwa sababu za kiuchumi.
 
Mkandara,
Demand and need for Tanganyika inaweza angaliwa Katika sura kuu Mbili. Sura ya kwanza ni demand and need for Tanganyika government as a matter of principle. Sura ya pili ni demand and need for Tanganyika as a matter of retaliation on Zanzibar. Throughout, mwalimu hoja zake zimekuwa zikiegemea zaidi kwenye formation of Tanganyika as a matter of retaliation huku akionya juu ya Madhara yake. Lakini kwenye upande wa formation of this long overdue government as a matter of principle, mwalimu alipwaya sana na alijua Hilo lakini it was easy to justify and defend under party state politics intermixed na Cold War. Sasa kuna haja ya kuwapa watanganyika serikali Yao as a matter of principle, na kitendo cha CCM to delay towards that end pengine ni a deliberate move ya kupeleka watanganyika kwenye Madai ya Tanganyika Yao as a matter of retaliation ili Yale ambayo mwalimu alionya yakijitokeza, CCM ije na hoja yake juu ya Amani na utulivu ndani ya muungano.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Yaani hata sikuelewi kabisa. yaani mwalimu alipwaya wakati wewe unaishi katika mfumo huo ukiwa huru pasipo kubaguliwa na amani ambayo huipati nchi nyingine yoyote iwe sio matter of principal? leo wewe kweli unadiriki kusema haya, What is the Principal? - Kuwa na nchi yenye serikali na mipaka ya Utanganyika? hii inakufanya wewe uwe buinadamu kamili au nini umuhimu wa UTU maana nijuavyo miye hii ndio Principal ya Ubinadamu.

Kifupi mwalimu alikuwa akituonya watu kama nyie na wengi hawakumwelewa wakati ule, alituonya hata viongozi kama kina Mwinyi, walokuwa wakiamua asubuhi baada ya kukaa na wake zao, kina Mkapa na wote walofuatia vigogo wote walokuja kuitawala nchi hii sii kwa sababu ya UCCM bali fikra zao na utashi wao, haya yote tunayaona leo hii. Viongozi wala nyama za watu ambao wametukuza Utanganyika na Uzanzibar, Rushwa, Ubaguzi wa makabila na Udini haya yote tunayaona leo lakini kama kawaida yenu hamkosi sababu na kwa njiiia moja ama nyingine wewe unawaunga mkono vile vile. Bora kugawana mbao ukiwa na watu wale wale wenye mawazo yale yale. Manshindwa kuona kwamba tatizo sii serikali bali SISI wenyewe ndio tumehalalisha kula nyama za watu.

Na kesho hata mkijayaona makosa yenu bado mtakuja na vijisababu badala ya kukubali makosa mtasema kwani nyama ya mtu sio nyama.
 
Dr.Mkandara anapashwa kuwa objective. Anajua hadi sasa hatujataabanisha muundo wa Tanganyika utakuwaje. Wakati ukifika tutashona koti kulingana na maumbo yetu. Ebufikiria tuna haja ya kulipa kodi kuendesha mfumo ya mkuu wa wilaya sambamba na mkurugenzi wa halmashauri? Katibu taarafa je? Tija ipi ya kuwepo majimbo 2 wilaya ya muleba. Mbio za mwengeje? Mkandara umeisha fanya hesabu kwa bajeti ya trillion 20 kwa wtz mil 45 ni kodi ya laki 8 kila mtz. Ukajua kodi ya kijiji watu 1500 ni bil. 1.2 ukalhnganisha na maendeleo yaliyotengewa kijiji kwa matarajio ya hayo mapato tokana na kodi? Kwa nn uione kodi ndio tatizo wakati kodi tunayolipa sasa haitumiki inavyostahili? Selikali tatu haitatumiza kigharama kama pia mapendekezo ya uwazi, uadilfu na uwajibikaji vitakuwa tunu za taifa.
Ikiwa bado hatujatabanisha muundo wa Tanganyika unaitaka katiba mpya ya JMTya nini? hii katiba iwafunge Watanganyika hata kabla hawajawepo? Kwa nini usianze kwanza na kuunda hiyo Tanganyika na serikali yake, bunge lake na mahakama zake kisha tukubaliane tunataka ushirika wa muungano au laa, tunataka ushirika wa muundo gani maana ukweli ni kwamba hoja zote hizi ni kuuvunja huu Muungano uliopo, tuandike upya ushirika wetu na sii kuandika upya Katiba. Hapa ndipo mimi sikubaliani nanyi kupenyeza hoja ya serikali 3 ilihali mnataka kuandika upya ushirika wetu. Mkinielewa hapo hatuna sababu ya kuendelea kubishana.

Nachopinga mimi ni kutaka kujenga ghorofa kwa msingi ule ule wa kizamani ulokuwepo wa vyumba sita, haiwezekani? lazima tuuvunje kwanza msingi huu nanyi mnasema hapana tunauimarisha msingi huo kwa kupandisha ghorofa juu, hii hainipi kabisa! semeni wazi tunavunja muungano kisha tunaandika upya muungano wa shirikisho hapo tutawalewa na wananchi wote waelewa nasio kuwapiga changa la macho wajutie kesho maamuzi yao.
 
Dr Lipumba alitoa ufafanuzi mzuri sana wa namna ya gharama za Serikali tatu zikavyogawanywa bila kuongeza kwa kiwango kikubwa gharama za sasa za kuendesha Serikali mbili. Nadhani ufafanuzi wake utakuwepo hapa utafute ili uusome kwa kina.
Sawa kabisa, ila na mimi nautafuta siuoni...saidia mkuu...
 
Nafasi ikiruhusu nifatanya hivyo Mkuu na kuweka hapa kama nitafanikiwa kupata hotuba hiyo ya Dr.

Sawa kabisa, ila na mimi nautafuta siuoni...saidia mkuu...
 
Yaani hata sikuelewi kabisa. yaani mwalimu alipwaya wakati wewe unaishi katika mfumo huo ukiwa huru pasipo kubaguliwa na amani ambayo huipati nchi nyingine yoyote iwe sio matter of principal? leo wewe kweli unadiriki kusema haya, What is the Principal? - Kuwa na nchi yenye serikali na mipaka ya Utanganyika? hii inakufanya wewe uwe buinadamu kamili au nini umuhimu wa UTU maana nijuavyo miye hii ndio Principal ya Ubinadamu.

Kifupi mwalimu alikuwa akituonya watu kama nyie na wengi hawakumwelewa wakati ule, alituonya hata viongozi kama kina Mwinyi, walokuwa wakiamua asubuhi baada ya kukaa na wake zao, kina Mkapa na wote walofuatia vigogo wote walokuja kuitawala nchi hii sii kwa sababu ya UCCM bali fikra zao na utashi wao, haya yote tunayaona leo hii. Viongozi wala nyama za watu ambao wametukuza Utanganyika na Uzanzibar, Rushwa, Ubaguzi wa makabila na Udini haya yote tunayaona leo lakini kama kawaida yenu hamkosi sababu na kwa njiiia moja ama nyingine wewe unawaunga mkono vile vile. Bora kugawana mbao ukiwa na watu wale wale wenye mawazo yale yale. Manshindwa kuona kwamba tatizo sii serikali bali SISI wenyewe ndio tumehalalisha kula nyama za watu.

Na kesho hata mkijayaona makosa yenu bado mtakuja na vijisababu badala ya kukubali makosa mtasema kwani nyama ya mtu sio nyama.
Haiwezekani kukawa na nchi mbili na serikali Mbili. Ni aidha serikali moja au serikali Tatu. Thats the principle. Mwalimu aliSema Tanganyika sio sera ya CCM, sera ni serikali Mbili kuelekea moja. Maswali kwako ni je:

• tangu lini suala la muungano likawa ni suala la chama cha siasa na sio wananchi? Ni wapi Katika mkataba wa muungano chama au vyama vya siasa vinatajwa hata juu juu? Hakuna.
• Kama serikali Tatu sio sera ya CCM, sera ya wasio wana CCM (90% ya wananchi) ni serikali Ngapi?

Hilo la serikali moja Kama alivyo taka mwalimu tunajua haliwezekani, hivyo tusipoteze muda kujadili. Serikali Mbili kwa miaka 50 zimeleta hasara kuliko faida kwa wananchi walio wengi. Wazo la serikali moja limeshazikwa na mwalimu pamoja na karume. Kama bado tunautaka muungano, suluhisho ni serikali Tatu. Ondoka kwenye fikra za utopia.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nguruvi3,
Mkuu nishawahi kusema hunielewi na hutanielewa japo hapa umesema umenielewa. Umenielewa katika moja halfu hilo hilo ulonielewa umekuja kutonielewa tena na kwamba mimi najichanganya kumbe wajichanganya mwenyewe maana unashindwa kuelewa madai ya awali kuwa ni Zanzibar ambayo haina fiscal autonomy na sii Tanganyika. Sasa wewe Unajenga hoja kwamba maadam Zanzibar wanadai hilo basi suluhu ni kuipa Tanganyika fiscal autonomy ambayo wanayo miaka yote.

Labda nirudie kusema hivi, Zanzibar wana kila sababu ya kulalamika na malalamiko yao yapo wazi kabisa. Chukulia moja Wazanzibar walidai kwamba rasilimali zetu zinazojulikana kama za Tanzania (muungano) iwe dhahabu, mafuta au gas hawafaidiki nayo, hakuna mgao maalum unaoeleweka ktk muungano huu japo jina la Tanzania linatumika. Lakini wakati huo huo iliposemekana kuna mafuta na gas katika ardhi ya Zanzibar ikasemwa hiyo ni mali ya muungano sii ya Zanzibar maana Zanzibar sio nchi, hivyo hawana mamlaka nayo! hapa ndipo tupatazame tunaweza vipi kuboresha hili na sii kuliondoa kabisa libaki sadakalau mwenye kupata apate!

Nacho suggest mimi ni kutokana na madai ya Wazanzibar ambao wanataka fully fiscal autonomy kutokana na sio muundo wa serikali 2 bali mamlaka walochukua Tanganyika dhidi yao hasa baada ya kuyafanya mambo 22 ya muungao kutokuwa na Muungano inawachanganya. Na nimetazama muungano wetu toka tulipoanza, tulipofika na tunakoelekea nikapata jawabu kwamba fiscal federalism sio tatizo isipokuwa kuna mkanganyiko katika fiscal decentralization.

Hivyo, tutazame uboreshaji wa kugawa mamlaka haya (decentralization) na ndipo nikaona pasipo kuathiri Muungano huu katiba hii lazima iwe sheria mama ambayo itakuwa applied na kukubalika pande zote mbili. Pande zote watakuwa na mamlaka ya kukusanya kodi ikiwa asilimia 50 ya pato hilo ni kwa niaba ya serikali kuu, pande zote watakuwa na mamlaka ya matumizi yao (conditional na mengine unconditional). Hii ni kutokana na kuzingatia hoja iliyopo na sio Utanganyika wala Uzanzibar. Kifupi mimi nipo against nyote mnaoupaza Uzanzibar vs Utanganyika kugawa hii fiscal autonomy kwa wote japo alodai ni mmoja, sijui lengo ni kupata kitu gani kama sii kujichanganya zaidi na ndio mana tumeshindwa kufikia maridhiano.

Lakini ili tuwe na uwazi na uwajibikaji katika muungano wetu ni bora mambo yote yawe ya Muungano na hivyo iwe mapato yote yatokanayo na watu binafsi, corporates, ruzuku na kadhalika dhahabu, mafuta, gas, kilimo, uvuvi,ufugaji, reli, bandari na kadhalika yawe yetu sote ili kuepuka usiri wa serikali zetu inapofikia mikataba ya makusanyo na mapato maana hapa ndipo kwenye ngoma kwetu sisi wananchi. Hii ni kutafuta kuwabana viongozi wetu wa baadaye ambao sii waaminifu kutumia miaya hii kutupotosha juu la lipi ni mali ya Umma na lipi sii la wananchi. Maana tumeona mikataba mibovu hadi fedha za EPA na IPTL linasemwa sii fedha ya Umma. Kuwa na serikali 3 wakati una viongozi wale wale wenye mawazo yale yale ni kujipotosha wenyewe maana yangetokea hata kama tungekuwa na serikali 3. Je, Ujinga, Umaskini na Maradhi tutaweza vipi kuyaondoa ndani ya muundo unaopendekezwa?. Je Utaifa wetu utaimarika vipi na miundo hii, mimi sioni zaidi ya kusambaratika kama alivyosema mwalimu Nyerere.

Na wala mamlaka haya hayataishia kati ya Tanganyika na Zanzibar bali yatakwenda hadi mikoani na wilaya zake ili ufanisi uanzie huko na sio kila kitu lazima mtu asafiri kwenda Dar kuomba kibali ama liseni. Hivyo, nachojaribu kusema hapa ni kwamba matatizo yetu yapo ktk decentralization inayoeleweka na wazi kwa sote na tusipoangalia tutapoteza zaidi maana sisi sote tuna pungufu kubwa la uwazi na uwajibikaji. Hatuna Utamaduni sawa na wenzetu ambao Uzalendo kwao unatokana na Imani zao, makabila yao ama historia sawa ya Utaifa.
 
Back
Top Bottom