Nataka nitengeneze series Kali ya Kiintelligencia ya kibongo!! Iwe HD na yenye Technologia ya hali ya juu!!Nataka nitengeneze series Kali ya Kiintelligencia ya kibongo!! Iwe HD na yenye Technologia ya hali ya juu!!
Lakini nilitaka ushauri nifanyeje jinsi ya kuuza hyo series baada ya kuimaliza niweze pata faida kama series za nje nisiishie kupeleka kwa mhindi ikanikata!!
Ushauri juu ya wasanii!!
Je nichukue wasanii gani
Ray,Lulu,wema,hemedi ,Gabo,Kajala
Nataka wataofanya series iwe maarufu na jina kwa faida zaidi!!
Kwa ushauri wowote karibuni wadau
Weka waigizaji wapya kabisa ili tupate uhalisia. hata mi nipo tayari kushiriki hiyoNataka nitengeneze series Kali ya Kiintelligencia ya kibongo!! Iwe HD na yenye Technologia ya hali ya juu!!
Lakini nilitaka ushauri nifanyeje jinsi ya kuuza hyo series baada ya kuimaliza niweze pata faida kama series za nje nisiishie kupeleka kwa mhindi ikanikata!!
Ushauri juu ya wasanii!!
Je nichukue wasanii gani
Ray,Lulu,wema,hemedi ,Gabo,Kajala
Nataka wataofanya series iwe maarufu na jina kwa faida zaidi!!
Kwa ushauri wowote karibuni wadau
Series kibongo?Sijui aiseee.
Sio mbaya kujaribu lakini,hata hao wakorea ninaowapenda walianzia mbali.
All the best
Ndo nilikua nauliza maana ili series ipate jina na umaarufu lazima kuwepo mastar maarufu!!Kwa akili zako tu hao uliowataja wanaweza cheza yaana unataka kufanya kitu cha uhalisia unauwezo Wa kutumia Mali za serikali kama mahakama ofisi za jeshi la polisi uniform za jeshi la polisi magari sehemu zenye uhalisia je unadhani bongo inawezekana kuwapata watu wanaweza kuingiza kii telejensia kama unavyoona seris za ulaya je unahela ya kuwekeza ili upate uhalisia maana kuleta uhalisia Wa series kama hiyo Na uwalipe waigizaji Bora uwekeze kwenye biashara nyingine