MZEE NGAO 08
Member
- Mar 29, 2023
- 48
- 31
Naam, hapo season 3 inatuhusu, yule nightmare creature waliyemuua nilikua namkubali sana muda wote yeye anatabasam huku anaua, nilisikita alivyokufa,
It's crazy.
dah!! iko poa sana ila mpaka unaogopaHutojutia, usiangalie tu usiku
Ujanja wangu wote wa kuangalia horror hiyo imenishinda kuangalia usiku.dah!! iko poa sana ila mpaka unaogopa
Wengine usiku ndiyo tuko free ila hichi chuma kimepelekea nikawasha taa kwa kuogopaUjanja wangu wote wa kuangalia horror hiyo imenishinda kuangalia usiku.
Ha ha ha pale wapo kwenye basement wanaanza kukata kifua cha smiley halafu akashtuka.Wengine usiku ndiyo tuko free ila hichi chuma kimepelekea nikawasha taa kwa kuogopa
Hii kitu hapanaHa ha ha pale wapo kwenye basement wanaanza kukata kifua cha smiley halafu akashtuka.
Kidogo niruke kwenye kiti.
Yes it's a new planNani anaiangalia FROM?
Nipo excited sana what next kwenye ep 9 Donna kayakanyaga.
Kuna yule mpuuzi wa season one eti akafall in love na Monster daaaah. Alikufa vibayaYes it's a new plan
Ila nimemiss sana yule smiley creature ila kuna watu wanajua aiseView attachment 2658915
Yani imetulia sana, tutegemee season kibao tu Je ile bile itafanya kazi kuwaua hao creature na Je! Hata kama watakufa watafanikiwa kutoka hicho kijijiHorror yenye akili
Hii series iko Poa Sana. Sema naona tutegemee season 3.
Maswali mengi sana hayawezi yote kujibiwa ndani ya episode 2 zilizobaki.
Yani wanakubembeleza, wanaomba msaada pia wanakuja inform ya mtu ulikuwa unampenda ili umpe nafasi aingieKuna yule mpuuzi wa season one eti akafall in love na Monster daaaah. Alikufa vibaya
Akasababisha maafa Kwa wenzake
Opening theme Quisera sera whatever Will be, Will be, the future is not ours to see Quisera seraHutojutia, usiangalie tu usiku
Kuna yule mzee amekaa pale muda mrefu mpk amekua chizi yule anaweza kua ndo ticket ya kutoka paleUjanja wangu wote wa kuangalia horror hiyo imenishinda kuangalia usiku.
Haha muite Victor anajua mambo mengi ya pale ila huwa hasemi...Kuna yule mzee amekaa pale muda mrefu mpk amekua chizi yule anaweza kua ndo ticket ya kutoka pale
Nadhani ni BoydHaha muite Victor anajua mambo mengi ya pale ila huwa hasemi...
Hivi kati ya Boyd na Jimmy nani ni main character??
Au asiwe ticket ya kutoka bali ya kubaki, maana anasema akikumbuka tu watu wote wanaenda kufa.Kuna yule mzee amekaa pale muda mrefu mpk amekua chizi yule anaweza kua ndo ticket ya kutoka pale
Hua napeleka mbele sitaki hata unikae kichwani huo wimboOpening theme Quisera sera whatever Will be, Will be, the future is not ours to see Quisera sera
Mwamba huyu hapa,Yes it's a new plan
Ila nimemiss sana yule smiley creature ila kuna watu wanajua aiseView attachment 2658915
Me nilijua anaamka sipati picha mlango ungekuajeHa ha ha pale wapo kwenye basement wanaanza kukata kifua cha smiley halafu akashtuka.
Kidogo niruke kwenye kiti.
Mwamba huyu hapa,
Sikupenda kabisa walivyomuua, nilitamani abaki hadi mwisho, nakumbuka lile bus lilivyoingia kuna wazee waligoma kulala dinner wakalala ndani ya bus, mwamba akaja wazee wa watu wakashukuru kuona mtu wakijua anawasaidia akawaambia "you picked a bad spot" huku anacheka akawala, dah!
Hapa nimeona kuna supernatural wengine ambao hao ndio kiboko sasa, wameanza kuwatokea hadi kwenye ndoto rejea ya Eugine kuzamishwa kwenye bathtub na Kenny kung'atwa na wadudu na yale mauza uza aliyokua anayaona Boyd kibox cha muziki kinalia, yule mzee aliyempa damu yake,Yani imetulia sana, tutegemee season kibao tu Je ile bile itafanya kazi kuwaua hao creature na Je! Hata kama watakufa watafanikiwa kutoka hicho kijiji
Hehehehe mie tena napenda sana movies za horror na Supernatural.... Maua nimeyapokeaNmekupenda bure,kumbe na wewe unafuatiria mzigo wa from,chukua maua yako.