Baharia mweuc
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 654
- 769
Mkuu kuna hii link unadownload hata GB nzima kwa dakika zisizo zidi 6 wewe ndio ulishea?
Kwa sisi viziwi(deaf) hiyo ni simple sana, tunatembeza macho fastafastaIla hii kazi ya kusoma subtittles ni ngumu sana asee
Mega wao links zao huwa hawaachi hadi zina expires, servers zao muda wote zinafanyiwa updates na maintenance ya maana ndio maana chochote kile mega kinakimbia sana.Mkuu kuna hii link unadownload hata GB nzima kwa dakika zisizo zidi 6 wewe ndio ulishea? View attachment 2478461
Ila ukitumia sites nyingine hata file la 200MB unatumia muda mrefu nini siri ya mega?
Nikitaka file fulani kulitafuta huko inakuwaje? Au mpaka msamalia mwema aliweke kwanza huko?Mega wao links zao huwa hawaachi hadi zina expires, servers zao muda wote zinafanyiwa updates na maintenance ya maana ndio maana chochote kile mega kinakimbia sana.
Nawakubali sana hawa jamaa.
Nadhani wao wanatoa tu huduma ya cloud servers so kama ikitokea site husika wana akaunti kule mega vitu vyao wanavi upload kwenye servers za mega.Nikitaka file fulani kulitafuta huko inakuwaje? Au mpaka msamalia mwema aliweke kwanza huko?
Game of throne one of the best series on the planet, kuna vitu vingi sana vinavutia zaidi ya mapanga hebu kaa tena fuatilia story line vizuri namna wanavyo zungumza characters , kila character ni nomaSijui shida Nini..yaani Vikings nimeangalia Hadi season 3..AaGOT niangalia Hadi season 3.. lakini sijazipenda kabisa..nilianza kuangalia see..nilipoona Ni zilezile za history..nikaipotezea..
Series ya mapanga niliyoikubali Ni Jumong pekee..
Kwakweli nimeamua kuukubali ukweli hizi sio Kila aina series utaipenda..
Nimeicheki ipo powa sana Una nyingine inayofanana na drive to survive mkuu
Hii mega ni ya kulipia?Mkuu kuna hii link unadownload hata GB nzima kwa dakika zisizo zidi 6 wewe ndio ulishea? View attachment 2478461
Ila ukitumia sites nyingine hata file la 200MB unatumia muda mrefu nini siri ya mega?
Ambazo zinahusu magari sidhani kama zipo nyingine mkuuNimeicheki ipo powa sana Una nyingine inayofanana na drive to survive mkuu
Huyo anapenda kuoigana sio muangaliaji mzuri wa mambo mengine maana kama unacheck series Kweli huwezi ukaiacha The GOTGame of throne one of the best series on the planet, kuna vitu vingi sana vinavutia zaidi ya mapanga hebu kaa tena fuatilia story line vizuri namna wanavyo zungumza characters , kila character ni noma
Season 4 c ishatoka tng July 2022? Au am I missing something??Fauda Season 4
January 20
Imetoka kwako ila duniani ni 20/01/23Season 4 c ishatoka tng July 2022? Au am I missing something??