The first episode reminds me of what might have happened in 17/march/2021. Or few days before the above dateAn MI6 deputy's bright future takes a sharp turn after a reunion with a Russian spy forces him to question his entire life and which side he truly wants to side with in a looming conflict.View attachment 2459376
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Ukipata jibu usisite kuniita. Utatajiwa zilezils maarufu ambazo kila mtu humu amesha zichekiEmbu nitajie series za kijasusi ambazo ww unaona ni kali sana.
Hii aina tofauti na kuangalia movie za pilau. Uchafu wote upo humo yaani mtu akikuta unaangalia atasema unaangalia pilau.Leo nimeamua niangalie SPARTACUS
Ukali mwingii ila Pilau kama lote yani
Itakuwa na lamaana kweli mbona imekaa kimama mama?
Mi nimeona nistream netflix tuMzigo tayari.
Sasa nione matunda ya mbs zanguView attachment 2466330View attachment 2466331
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi. Mtu anatazama series akiwa na matarajio yake au anatamaza kwa ajili ya kulinganisha.Sikiliza watu wa humu sio kwamba wanajua series hapana ni vile ameona hakuna vitu anavyovitaka viwemo kwenye iyo series. So wewe usibishane nao maana ukimuuliza yeye tutajie series yako Bora ambayo haina makosa utacheka maana hakuna series yoyote duniani ambayo haina makosa ila anataka akiichukia yeye na wewe uichukie kwa namna yoyote
Nimemaliza Treason...ya kawaida sana.Ngoja sasa nikae humu
Ya hovyo sana
Kaka treason sio ya kawaida ,Ni series nzuri Sana labda useme unapenda kuona watu wanapigana kwa mapanga but Ni bonge la series,story imekaa poa sana even if inafanana kidogo na uhalisia wa director wa fbi wa kipindi Cha nyuma ambaye alikuwa na file la kila mtu mkubwa mwenye wadhifa then anatumia hizo details kwa ajili ya kuwa na nguvu kwenye system ndicho alichokuwa anafanya director wa MI6 kwenye treasonNimemaliza Treason...ya kawaida sana.Ngoja sasa nikae humu
Kweli pale mwisho jamaa wamezingua mnoooo. Yaani kuanza episode ya red, pink and white ni uboya mtupu.Ya hovyo sana
Inahusu nini? Nimeangaloa the Quest hata sijaielewa kuna vipande imekaa kitoto sana.Hatari sana hili dude. View attachment 2470284
Story nzuri ila wangejitahid kukaa kwenye uhalisiaKaka treason sio ya kawaida ,Ni series nzuri Sana labda useme unapenda kuona watu wanapigana kwa mapanga but Ni bonge la series,story imekaa poa sana even if inafanana kidogo na uhalisia wa director wa fbi wa kipindi Cha nyuma ambaye alikuwa na file la kila mtu mkubwa mwenye wadhifa then anatumia hizo details kwa ajili ya kuwa na nguvu kwenye system ndicho alichokuwa anafanya director wa MI6 kwenye treason
Berlin StationEmbu nitajie series za kijasusi ambazo ww unaona ni kali sana.
Haya Wazee wa BMF mzigo umeachiwa Leo