Series (Special thread)

Kuna series flani Jina nimesahau lakini jamaa alikuwa ni mmiliki wa kampuni moja ya kutengeneza mvinyo baadae kampuni yake ikafilisika akatangaza kuiuza Kisha akaajiliwa na mtu huyo alonunua kampuni... Ni series kali Sana
 
Wanaopenda sci-fi hizi ziko poa.
DEBRIS
THE PERIPHERAL ( mpya on going )
FALLING SKIES ( ya muda ila bado one of my best )
ORPHAN BLACK
SENSE 8
SCORPION

Sent from my VS988 using JamiiForums mobile app
Hiyo Debris nimeikubali. Mfano mwengine wa series kama hiyo ni Fringe, km ulishaicheki hongera na km bado basi usisubiri.
 
Nitajie series za hivi karibuni ambazo zinakufanya usinyenyuke mahali ulipokaa mpaka utafune vipande vya kutosha vya episodes
NOTE SIPENDI LADHA ZA KINA GAME OF THRONES
Game of Thrones na na Sci-Fi au fiction movies huwa sinaga mchongo nazo

Terminal list
Reacher

Umezicheki hizo series?

Itafute na MAID

Hiyo maid ni story haina makeke kama hizo hapo juuu
 
Game of Thrones na na Sci-Fi au fiction movies huwa sinaga mchongo nazo

Terminal list
Reacher

Umezicheki hizo series?

Itafute na MAID

Hiyo maid ni story haina makeke kama hizo hapo juuu
Terminalist nimeshaimaliza reacher naendelea nayo maid sijaiona bado nyingine?
 
Unyama mwingi sana, naamini itaendelezwa tu
Hii movie sijaona! Sina mizuka nayo sijajua Kama ni kali au inapewa tu promo! Anyway.. Inahusu nini hasa nipate mizuka yakuipakua fasta
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…