Series (Special thread)

wale wa blacklist vp inaendeleaje?... maana ndo naanza season 9. vp kuna kipya? au ndo nikate tamaa tu
 
Kama umeshawahi kuangalia movie za RESIDENT EVIL ,na ile RESIDENT EVIL RACOON city basi
Kaangalie series yake ya RESIDENT EVIL SEASON 1 , unyama mwingiii
 
Unafuatilia movies na series za Star Wars.

Kaangalie OBI WAN KENOBI SEASON 1

Stori ya baba ake LUKE SKYWALKER.
 
Kaka huo mzigo Ni noma Sana wanaosema haupo sawa sijui wanawaza nini ,mossad Ni noma
 
Kuwa demu tayari ni mtafutwa, ila database za watafutwao hazimsomi....

Eti mtoto wa kamanda mkuu anasoma Marekani wakati Marekani na Iran wana uadui toka 79

Eti wanaenda endesha magari ya kimarekani lastest wakati Marekani hauzi kitu kwa Wairan
Ukumbuke wakati anaenda america general Mohammed hakuwa kwa kile cheo kuhusu magari ya kimarekani kuwa Iran sio issue kubwa sababu wanaweza kuagiza kutokea nchi nyingine then yakatumika iran
 
Series mbovu kabisa najuta kupoteza bando langu, mission za kitoto, yule jamaa anauliwa mwishoni pale season 2 ilitakiwa afe zamani sana ila wanarefusha tu maisha yake, demu mosaad anajulikana lakini anapuyanga mpaka hadi kwa wasaidizi wa ayatollah
Hiyo ndo shida ya kuwasikiliza mashabiki ile series ilitakiwa iishe season 1 ila kutokana na maoni ya mashibiki apple wakaamua kuongeza season 2 mwisho wake wameleta kitu cha watoto wa chekechea
 
Ukumbuke wakati anaenda america general Mohammed hakuwa kwa kile cheo kuhusu magari ya kimarekani kuwa Iran sio issue kubwa sababu wanaweza kuagiza kutokea nchi nyingine then yakatumika iran
Achana nao mwanangu wewe endelea sio kila kitu tuipende wote kuna kuelewa series na kutaka wewe uone matukio fulani yanatokea kwenye iyo series yalipotokea basi unaanza kuponda alafu kitu unachokisifiwa kinapondwa pia ndio tabu ya watu wengi.
Unakuta mtu anaandika eti mtu anasomaje Marekani wakati Marekani ina uhasama na Iran alafu hapohapo kiuhalisia Osama alikuwa gaidi la dunia lakini kaka yake alikuwa anazurura na kufanya business Marekani hadi ulaya 🤣🤣
 
Namna gani naweza kudownload hizi Movies na series??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…