Hii hapa Mkuu, hii iko vizuri maana tayali subtitles zake ni hard-coded,vile vile hii link ya season one imeunganishwa pamoja na movie yake Inaitwa Gomorrah,hivyo wakati wa kudownload kwenye torrents unaweza kutoichagua hiyo movie, ukadownload movie yenyewe..Mkuu naomba link ya ku downloadia hii gomorrah
Naomba link ya season 05 lyenye subtitles ya kiingereza.Hii hapa Mkuu, hii iko vizuri maana tayali subtitles zake ni hard-coded,vile vile hii link ya season one imeunganishwa pamoja na movie yake Inaitwa Gomorrah,hivyo wakati wa kudownload kwenye torrents unaweza kutoichagua hiyo movie, ukadownload movie yenyewe..
GOMORRAH: 2008 Film + La Serie aka The Series (Season 1 S01) - 720p HC Eng Subs Torrent Download - LimeTorrents.pro
Download GOMORRAH: 2008 Film + La Serie aka The Series (Season 1 S01) - 720p HC Eng Subs torrent for free, Downloads via Magnet Link or FREE Movies online to Watch in LimeTorrents.pro Hash: 6FE3A7562F50DF722CE4348EA550A28577E8726Awww.limetorrentx.cc
Naomba link ya season 05 lyenye subtitles ya kiingereza.
Asante sana mkuuHii hapa Mkuu, hii iko vizuri maana tayali subtitles zake ni hard-coded,vile vile hii link ya season one imeunganishwa pamoja na movie yake Inaitwa Gomorrah,hivyo wakati wa kudownload kwenye torrents unaweza kutoichagua hiyo movie, ukadownload movie yenyewe..
GOMORRAH: 2008 Film + La Serie aka The Series (Season 1 S01) - 720p HC Eng Subs Torrent Download - LimeTorrents.pro
Download GOMORRAH: 2008 Film + La Serie aka The Series (Season 1 S01) - 720p HC Eng Subs torrent for free, Downloads via Magnet Link or FREE Movies online to Watch in LimeTorrents.pro Hash: 6FE3A7562F50DF722CE4348EA550A28577E8726Awww.limetorrentx.cc
Google subscene.comNa njia rahis ya kupata subtitle zake unafanyaje mkuu
Leo namalizia Godfather of Harlem Season two naanza Snowfall.. I have a feeling itakuwa level za OzarkNimemaliza season 3 ya Snowfall.. nilikuwa naidharau hii kitu, nashusha ya 4 nitembee nayo zaidi [emoji91][emoji91]
Pamoja mkuuAsante sana mkuu
nakubaliana na wewe mkuu.... English yake ni rahisi mno kuielewa....The Oval naangalia bila substitleTamthilia zote za tyler perry zina englush rahis sana tena sana.. Kama ukishindwa kuangalia series za terry perry bila subtitle bas una shida ya lugha

Kweli manTamthilia zote za tyler perry zina englush rahis sana tena sana.. Kama ukishindwa kuangalia series za terry perry bila subtitle bas una shida ya lugha
Binafsi nazipata kwa tabu kweli kweli yani episode ni za kutafuta kwa tochi, zile za Torrents nazo mb zake zime changamka haswa...nakubaliana na wewe mkuu.... English yake ni rahisi mno kuielewa....The Oval naangalia bila substitle
Hii series bwana kuna seasons zimevurugika unaweza poteza direction na usielewe mimi ilibidi zile episodes nizichanganye then nikawa na play moja moja naangalia inayoendelea baada ya pale nikawa na zi rename lkn pia sijapata hadi final.Mkuu tuelekeze tuko wengi, mm series bila subtleties hainogi, mfano nafuatilia if loving you is wrong bt nashindwa kusonga nayo coz haina, ata nikitumia vlc kwa hii series inasema not found.
ShukranHii series bwana kuna seosen zimevurugika unaweza poteza direction na usielewe mimi ilibidi zile episodes zichanganye then nikawa na play moja moja naangalia inayoendelea baada ya pale nikawa na zi rename lkn pia sijapata hadi final.
Kuhusu subtitles nacho ni kipengele nyingi zinapishana na sauti so inabidi ujue kucheza na settings za VLC ya Pc. Mie ninayo baadhi zina subtitles baaadhi hazina.
Lakini series za Tyler Perry hazina English ngumu.
ingia netnaija mkuu!Binafsi nazipata kwa tabu kweli kweli yani episode ni za kutafuta kwa tochi, zile za Torrents nazo mb zake zime changamka haswa...
ingia netnaija mkuu!Binafsi nazipata kwa tabu kweli kweli yani episode ni za kutafuta kwa tochi, zile za Torrents nazo mb zake zime changamka haswa...
Ni sawa. na Nina sources nyingi za kupata series.ingia netnaija mkuu!
Kuna mdau huko juu alisema search jina la movie Google halafu weka mwishoni neno index...
Ningejua nisingecheck muvi kwanza maana inanipa ukakasi wa kuishusha wakati maudhui ni kama ya kwenye movie tuNimemaliza season 3 ya Snowfall.. nilikuwa naidharau hii kitu, nashusha ya 4 nitembee nayo zaidi [emoji91][emoji91]
Sikiliza mimi mwenyewe nilipata tabu sana huko torrents lakini tangu nilipata hili group Tyler Perry’s Series™ la telegram basi series zote za Tyler Perry nazipata huko so nakushauri tumia ilo group utanishukuruBinafsi nazipata kwa tabu kweli kweli yani episode ni za kutafuta kwa tochi, zile za Torrents nazo mb zake zime changamka haswa...
Sasa hivi season 3 ipo hewaniIna seasons ngapi mkuu