Series (Special thread)

Wadau hii series ni ya mwaka 2012, nimejaribu kuitafuta bila mafanikio. Mwenye link yake, natanguliza shukraan!
 
Moiraine and Lan find help in an unexpected - and unwanted - quarter, as the separated villagers try to find their way back to each other, or at least to refuge. But they all soon learn how far the Dark One's reach extends, and how few they can trust on the road.
 
Inawezekana ukawa sahihi, maana hata breaking bad mwanzo ilinishinda..ila kila mahal inasifiwa ikabidi nikomae nayo, dah nilijilaumu sana kwann sikuiona siku zote.

Peaky Blinders nayo imenishinda episodes za mwanzo tu..
 

Itoe Breaking Bad kwenye hiyo list.. umeikosea heshima.

Mi nimeangalia Peaky Blinders na nahisi imekuwa overrated mno.

Mpaka nilipomaliza Season 2 ndo ikawa mwisho wa uvumilivu wangu, maana ilikuwa inanimalizia tu MB zangu ukizingatia Episode zake HD zilikuwa kubwa sana.

Nilianza kuangalia hivyo hivyo mdogo mdogo kuanzia Season ya 1 nikitegemea makubwa kama nilivyosikia kwa watu lakini wapi.
 
Tuwekee link mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…