Baharia mweuc
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 654
- 769
Ipo playstore ila unatakiwa uwe na vitu viwili:Mkuuu Torrent naipata kwa play store au naiapata wap? Mkuuu msaaada wako
Seal TeamNimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.
Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.
1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead
Hizo ni baadhi tu..
UPDATES ZA SERIES TOFAUTI KUTOKA KWA WACHANGIAJI KWENYE THREAD.
New tv series nnazozipenda.
1.The last kingdom
2.Narcos
3.Quantico
4.blindspot
5.The bastard executioner
6.Limitless
7. Jessica Jones
8.The Returned
9.Tyrat
10.Power
Weekend yako ukiwa unajiuliza uangalie nini nakushauri download huu mzigo .kama unapenda series za kitumia akili basi hii inaufaa sana na uzuri haina episode nying zipo 8 tuu.View attachment 1931454
Huyo aliyeshika maandishi hayo anaitwa nick video yake inasambaa mitandani na inaonesha ikifika views million 5 jamaa anauliwa na watu waliomteka kwahiy familia na polisi wanashirikiana kuzuia isifike views 5M lakin wanashindwa na Nick anaokotwa akiwa amekufa maswali yanabaki ni nani amefanya hilo tukio na kwasababu ganiInahusu nini?
Huyo aliyeshika maandishi hayo anaitwa nick video yake inasambaa mitandani na inaonesha ikifika views million 5 jamaa anauliwa na watu waliomteka kwahiy familia na polisi wanashirikiana kuzuia isifike views 5M lakin wanashindwa na Nick anaokotwa akiwa amekufa maswali yanabaki ni nani amefanya hilo tukio na kwasababu gani
Breaking bad is one of the best series ever..sijawai kuona wa kuilinganishaNamzungumzia sean wallace wa Gangs of london.
Breaking bad is one of the best series ever..sijawai kuona wa kuilinganisha
Bonge la series.Ahsanteni sana watu wote huko kwenye comments za nyuma mlioniambia niitafute Deep state aisee si mchezo ina story nzuri sana
View attachment 1937446
SanaaaBonge la series.
Nilikua sijuagi kama season 2 imetokaAhsanteni sana watu wote huko kwenye comments za nyuma mlioniambia niitafute Deep state aisee si mchezo ina story nzuri sana
View attachment 1937446
Ilitoka muda sema mimi nilianza na moja hii nyingine nitaangalia weekendNilikua sijuagi kama season 2 imetoka
Breaking bad is one of the best series ever..sijawai kuona wa kuilinganisha
Tunasubiria season 3Nilikua sijuagi kama season 2 imetoka
Mkuuu hiv money heist inaendelea tena? MkuuuIpo playstore ila unatakiwa uwe na vitu viwili:
1: Utorrent.
2:Sites ya torrent zipo nyingi ila mimi natumia hii 1337x | 1337x.to Download Free Movies, TV Series, Music, Games and Software
So Nenda playstore download utorrent app then ukishamaliza unaingia kwenye izo torrent sites ambazo kuna movies, series, apps and etc, unachagua movies unayoyataka then una click magnetthen unachagua kuopen na UTorrent app mzigo unaanza kujishusha.
Mfano upo chini hapo