Baharia mweuc
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 654
- 770
Mimi siwagi mbishi sema unasoma then unabishana pasipo kuelewa nimeandika nini maana hayo yote nilioandika ni yaleyale ambayo nimeandika kwenye comments za nyuma sema kuna baadhi ya binadamu hapendi kuambiwa hiki unachoamini ni uongo au sio kweli kiuhalisia na kuhusu kuattack au kubishana na mtu kila mtu ningebishana nae humu kama kuna jamaa kaja kasema tv shows zake bora ni blacksails, GOT na Vikings akaomba zingine nikampa pasipo kumponda na hata nilizompa akizipenda au akaponda I don't care coz yeye ni yeye na mimi ni mimi.Finally leo umeandika vitu vinavyoeleweka maana wewe jamaa unakuwaga mbishi na una attack watu sema leo uko fresh, well spoken [emoji110]
Sema kuweka vitu sawa sio The oval siiependi hapana naiona ya kawaida sana nothing special. Ni mtazamo wangu though IMDb ndio iko popular kwa ratings hizo nyingine sio sana, na hiyo hating ya blacks ipo wanatupaga ratings mbaya sana.
Kuna mtu ni white ass registered user wa IMDb akiona Tyler perry anatoa one star bila kuuliza kisa he/she is racist, japo kuna wengine wanatoa bad reviews anatoa na reasons unajua kabisa kaangalia na hajapenda so Generally yeah kuna both sides
iko poa sanaVip nzuri??
unanunuaje Movie telegram !! Wakati unadownload mwenyew ni bundle zako tu.Series nilikuwa nayo hiyo link niliipata humu but nilifuta hiyo link kwenye hiyo link Kuna jamaa alikuwa ananiuzi movies
Ni Internet yako ipo slowWakuu,mbona kama Telegram iko slow sana?Yaani masaa 2 episode ya mb 200 bado haijamaliza!
Huwa ipo hivyo?
Mkuu wakati huo huo nimeenda kudownload file la GB moja sehemu nyingine,limeshuka chap!Hata youtube nastream vizuri bila shida!Ni Internet yako ipo slow
Ilo tatizo kwako kwangu halitokei na wala sijawahi kutana naloMkuu wakati huo huo nimeenda kudownload file la GB moja sehemu nyingine,limeshuka chap!Hata youtube nastream vizuri bila shida!
Tatizo lipo Telegram,mzigo unaenda slow sana,inadownload kb 100 kwa sekunde 5 mpaka 10!
Halafu wakati mwingine inasimama kudownload mpaka nibofye tena!
Poa!Ilo tatizo kwako kwangu halitokei na wala sijawahi kutana nalo
Ni internet. Huwa telegram kudownload movies ni faster Sana.Mkuu wakati huo huo nimeenda kudownload file la GB moja sehemu nyingine,limeshuka chap!Hata youtube nastream vizuri bila shida!
Tatizo lipo Telegram,mzigo unaenda slow sana,inadownload kb 100 kwa sekunde 5 mpaka 10!
Halafu wakati mwingine inasimama kudownload mpaka nibofye tena!
Namuona mzee wa Faida kwenye kazi nyingine. Nilisoma story yake nikaipenda hii series
Knahusu nini hii mkuu maelezo kidogo kabla hatujashusha
Kwenye Fauda alitisha sana mzeeNamuona mzee wa Faida kwenye kazi nyingine. Nilisoma story yake nikaipenda hii series
Jamaa alikuwa ni mtu wa familia sana, ghafra mke wake anagongwa gari na jamaa aliyefanya tukio hilo anakimbia.. Mshikaji anaanza kumtafuta mhusika, wakati akiendelea kumtafuta mhusika wa tukio la ajari anakuja kugundua kuwa mke wake hakuwa anamfahamu vizuri, alikuwa ana issue nyingi sana chini ya capet...Knahusu nini hii mkuu maelezo kidogo kabla hatujashusha
SanaaaaKwenye Fauda alitisha sana mzee
Okk ngoja nidondoshe ep kadhaa kwanzaJamaa alikuwa ni mtu wa familia sana, ghafra mke wake anagongwa gari na jamaa aliyefanya tukio hilo anakimbia.. Mshikaji anaanza kumtafuta mhusika, wakati akiendelea kumtafuta mhusika wa tukio la ajari anakuja kugundua kuwa mke wake hakuwa anamfahamu vizuri, alikuwa ana issue nyingi sana chini ya capet...
Itazame hii tv show, hautajutia muda wako
DoronNamuona mzee wa Faida kwenye kazi nyingine. Nilisoma story yake nikaipenda hii series