Baharia mweuc
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 654
- 770
Yaani wewe ndugu yangu nilishamalizana na wewe maana unakurupuka tu sasa hii kweli ni kigezo au maoni yako?😂😆😆Ni Intelligence.. sababu inaweza kuangaliwa na watu wa uelewa tofauti hata watu simple ila hiyo sio sifa ya series kuwa bora , series bora inakuwa haina plot holes nyingi, kuna character development inayoeleweka kunakuwa na unexpected twist ambazo zina blow your mind kama zile sudden deaths za GOT, mpangilio wa storyline pia inakuwa na Memorables characters
Level of intelligence bro inachangia kuna series ni Animation inaitwa Ricky and Morty ile Series ni kali aisee ila mtu wa kawaida tu hivi hawezi akaiangalia wala akaiona interesting na I doubt hata kama unaijua sasa nenda kaifuatilie reviews zake uone. Watu wanaoiangalia mpaka kina Elon Musk
Yaani wewe ndugu yangu nilishamalizana na wewe maana unakurupuka tu sasa hii kweli ni kigezo au maoni yako?[emoji23][emoji38][emoji38]
Niambie series ambayo haina plot holes nyingi? Izo plot holes zinaanzia ngapi?
So kama series mtu wa kawaida hawezi kuiangalia iyo inakuwa series bora? Sasa mbona Dark haipo hata top 50 bora za miaka yote?
Ricky and Morty wala GOT hazipo top ten ya IMDB utaaziitaje series bora?
Series ya animation ya miaka yote kali ni Avatar kwa mujibu wa IMDb iyo yako itasubiri sana [emoji38][emoji38][emoji38]
La kwanza hujibu maswali najua maswali huwezi kujibu.“Ricky and Morty wala GOT hazipo top ten ya IMDB utaaziitaje series bora?”
nyie mnaobishana mnatutoa kwenye mstari, lengo Ni kushea series mbalimbali na updates zake.
Natamani tueleweshane zaidi lakini nahsi tutaendeleza ubishi kitu ambacho si lengo la hii thread.Hizi series zako mkuu sio kali kwa mujibu wa IMDB [emoji23][emoji23][emoji23] series kali za muda wote hapo kwako ni moja tu Breaking Bad. Unafikiri why series zako ulizotaja sio kali ukiachana na Breaking bad kwa mujibu wa IMDb na zinazidiwa na Chernobyl, Avatar wala The wire?
Acha Broh, huyo mtu ataishia "kukuboa" tu.I know how this goes nikitaja Tv show yoyote utakuja na mbwembwe utaleta maneno tena, of course hamna Tv show ambayo inapendwa na kila mtu...lakin sasa punguza maneno, najua utajibu shit na mm sitokaa kimya ntakujibu then utanijibu tena kwa ubishi tutaendelea na majibizano mwisho ntakuwa bored ntaacha na wewe utaendelea kupiga kelele atakuja mtu mwingine utabishanana nae ukichoka utalala. kesho kutakucha utaendelea kubisha blah blah...sihitaji hiyo game
1. Breaking Bad (G.O.A.T)mkuu naomba top 20 ya series zako all the time...lazima ndapata kitu
Rick and Morty!!!Ni Intelligence.. sababu inaweza kuangaliwa na watu wa uelewa tofauti hata watu simple ila hiyo sio sifa ya series kuwa bora , series bora inakuwa haina plot holes nyingi, kuna character development inayoeleweka kunakuwa na unexpected twist ambazo zina blow your mind kama zile sudden deaths za GOT, mpangilio wa storyline pia inakuwa na Memorables characters
Level of intelligence bro inachangia kuna series ni Animation inaitwa Ricky and Morty ile Series ni kali aisee ila mtu wa kawaida tu hivi hawezi akaiangalia wala akaiona interesting na I doubt hata kama unaijua sasa nenda kaifuatilie reviews zake uone. Watu wanaoiangalia mpaka kina Elon Musk
List imeshiba sana hii,shukrani sana mkuu kuna baadhi sijaziangalia ila nilizozicheki top ten yangu hapo ni breaking bad,the wire,fargo,the americans,game of thrones,chernobly,sopranos,vikings,ozark,homeland aisee niliinjoi sana ivi vyuma1. Breaking Bad (G.O.A.T)
2. The Wire
3. Game of Thrones
4. Band of Brothers
5. Better Call Saul
6. Dark
7. Sopranos
8. Sherlock
9. True Detective (Season 1)
10. Ricky and Morty (Animation)
11. Vikings (Season 1 to 3)
12. Peaky Blinders
13. Narcos
14. Lost
15. Chernobyl
16. Gomorrah
17. Mr Bean
18. Dexter
19. Avengers: The Last Airbender (Animation)
20. Westworld
21. Fargo (Season 1)
22. Homeland
23. Mandarolian
24. Hannibal
25. Spartacus
26. The Americans
27. Ozark
28. Scam 1992
29. Mindhunter
30. When They See Us
Ni mara chache sana kukuta mtu anazitaja True Detective na Fargo kama TV Show bora..1. Breaking Bad (G.O.A.T)
2. The Wire
3. Game of Thrones
4. Band of Brothers
5. Better Call Saul
6. Dark
7. Sopranos
8. Sherlock
9. True Detective (Season 1)
10. Rick and Morty (Animation)
11. Vikings (Season 1 to 3)
12. Peaky Blinders
13. Narcos
14. Lost
15. Chernobyl
16. Gomorrah
17. Mr Bean
18. Dexter
19. Avengers: The Last Airbender (Animation)
20. Westworld
21. Fargo (Season 1)
22. Homeland
23. Mandarolian
24. Hannibal
25. Spartacus
26. The Americans
27. Ozark
28. Scam 1992
29. Mindhunter
30. When They See Us
True Detective season ya kwanza ni bonge moja la series mkongwe!Ni mara chache sana kukuta mtu anazitaja True Detective na Fargo kama TV Show bora..
Salute bro.. True Detective hasa season 1,ya pili na tatu walizingua
Umeicheki The Wire!?List imeshiba sana hii,shukrani sana mkuu kuna baadhi sijaziangalia ila nilizozicheki top ten yangu hapo ni breaking bad,the wire,fargo,the americans,game of thrones,chernobly,sopranos,vikings,ozark,homeland aisee niliinjoi sana ivi vyuma
Rick and Morty!!!
Rick "Listen Morty, I hate to break it to you, but what people calls LOVE is just a chemical reaction that compels animals to breed. It hits hard, Morty, then it slowly fades, leaving you stranded in a failing marriage. I did it. Your parents are gonna do it"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HII kitu ni hatari na nusu mzee. Mtu anaweza kushangaa inakuwaje "jitu" zima kama hili linaangalia "vikatuni", lakini madini anayomwaga Rick Sanchez humo ndani, sio mchezo.
Meseeks walikumbana na kichwa ngumu ya Jerry!“Break the circle Morty,Rise above...focus on science”
Rick -“To live is to risk it all, otherwise you're just an inert chunk of randomly assembled molecules drifting wherever the universe blows you.”[emoji16]
Hiyo series ina madini mzee yaani quotes zake tukisema tulist haziishi tunakesha hapa
meseeeks “Let’s kill Jerry, i say we follow through”[emoji23][emoji23][emoji23]
naomba hints kdogo hapo kwenye ChernoblyList imeshiba sana hii,shukrani sana mkuu kuna baadhi sijaziangalia ila nilizozicheki top ten yangu hapo ni breaking bad,the wire,fargo,the americans,game of thrones,chernobly,sopranos,vikings,ozark,homeland aisee niliinjoi sana ivi vyuma
its about nuclear bomb in russia its very good ni ya muda lakini kdgonaomba hints kdogo hapo kwenye Chernobly
so ni documentary sio!its about nuclear bomb in russia its very good ni ya muda lakini kdgo