Series (Special thread)

Hivi unaelewa hata unachokiandika au unajisahaulisha kimakusudi? Mimi ndio nilikua wakwanza kukuambia the reason i hate homeland sio kwasababu ya hizo errors ambazo kwako wewe big issue kwasababu ni makosa ambayo ni commonly. Usivyokua na akili ukapinga kua sio kawaida movies/series kua na errors

Usijifiche kwenye kichaka cha errors nyingi ilihali mimi ndio nimekutoa tongotongo kua hiyo homeland ni worst kuwahi kutokea kwa kukuonesha errors ambazo hukuwa huna hata clue kua zipo. Au unabisha hakuna errors?

Umejaribu ku criticize 24 kwa kufananisha na uhalisia na kuipa credit homeland, hapo ndo nimekuona mweupe usiyejua namna CIA inavyo operate. Inawezekana vipi CIA wakashindwa kubaini tatizo la ugonjwa wa akili wakati wa majaribio kabla huyo mtu hajaajiriwa?

Katika hali ya kawaida tu hata zahanati ya kijijini isingeshindwa kubaini tatizo la carrie
 
Wewe unitoe tongotongo mimi wakati unagoogle kitu ambacho series karibia zote zinakuwa zinapondwa miaka na miaka na watu???
Si ndio huko wamekwambia Carrie kagongwa na Peter Quinn au sio wewe? Basi nenda tena hata kaulize jamani naumbuka huku mnisaidie niweze kutoa fedheha 😂😂😂
 
Sawa kabsa mzee, Deception ilitoka season moja pekee, na watu kibao walikuwa na kiu ya hiyo series, lakini ndio hivyo jamaa wakai cancel
 
Bro umeelezea kwa ufasaha na umakini kama Legend wa kuangalia series ndio maana siku zote ukiniambia series flani nicheck lazima niitafute maana wewe ni mtazamaji wa Siri sio mbabaishaji.....Big up for that bro!
Shukrani sana bro...mimi mwenyewe hapo nyuma nilikuwa na desturi hizo, nakumbuka hapo nyuma nilishawahi kusema Ozark ni mbaya na imepoa.. Ukaniuliza imepoa kivipi? Nikasema haina matukio ipo ipo tu, ukaniambia Ozark ni bonge moja la show, ifatilie ukiwa umetulia...

Baada ya hapo,nmekuwa nikifatilia kwenye page yao nijue ya nne inatoka lini, bonge moja la mzigo!
 
Looo aisee, ila kifo cha broad kiliniuma sana aisee kwenye hii series. Shukran tu kwamba sio matukio ya kweli.
Mkuu ukifuatilia statistics za hii series utaona wazi kua season ya 01 ilibamba sana na kuwa na ushawishi kwa asilimia 100 ila tangu afe broddy season ya 03, series ilikosa mvuto.

Director akamtoa sadaka broddy kuwapa mshtuko watazamaji wawe na dhana kwamba inawezekana kile kifo kikawa ni fake kulingana yake hata na yalivyokua mazingira ya kifo chake yalivyokua, tutegemee kumuona tena episode za mbele

Juhudi za director zilikua ni kumtumia quinn aje azibe gape la broddy, allikua na mahusiano na carrie kama broddy. Huo ulikua kama ni ujumbe wa excuse kutoka kwa director kua naomba radhi kwa kukuchukulia muigizaji wako mpendwa lakini usijari yupo peter quin. Kichekesho naye quin akafa

Katika missions za carrie imethibitisha wazi kua she is incapable to fit as intelligence officer angalia idadi ya watu waliokufa kwasababu yake ni mamia kwa maelfu. Ikatokea kaokoa wawili basi kuna 10 wamekufa
 
Mimi naangalia Homeland mara nyingi Sana..yaani breaking bad na Homeland nazijua Kila Kona.. Ni uongo kusema carry Matson Kuna sehemu kafanya mapenzi na Peter Qn..
hii ni wikipedia, hao na ni watu ambao walikua na mahusiano ya kimapenzi na carrie.

peter quin anatafuta nini hapo?

wikipedia imeongopa?

 
Shukrani bro kwa kuendelea kusema ukweli na sio kupotosha umma kwa kujifanya unajua vitu kumbe hata hujaangalia
Kwa maana hiyo ulikua mjinga kuiponda 24 kwa kosa la kurudia plate number wakati homeland imefanya makosa complex zaidi ya hilo na hujayaona?

Mara sijui lupin haijakaa kihalisia kwasababu haiwezekani mtu kuibiwa kwa mbinu zile, katitka hiyo hiyo homeland kuna uhalisia gani unaoonesha CIA wakashindwa kubaini tatizo la akili kipindi cha majaribio kabla hajaajiriwa?

Unatumia hallucination badala ya facts, hapa nime highlight homeland maana naona unalopoka tu usivyovijua
 
Embu soma vizuri wapi nimeponda Lupin na 24 mzee au nimekuelezea Kuna errors pia? Na iyo lupin nimeiponda mimi au nimekupa mfano wa watu jinsi wanavyoiongelea?

Una uwezo wa kusoma lakini huelewi
 
Maskini wewe jamaa ni muongo sana please angalia series uelewe mzee sio kugoogle maoni ya watu maana tukikuuliza anayeandika story ni director au story writer? Kazi ya director ni nini?
Sema umemkuta unamueleza kaishia season 2 🤣🤣🤣🤣
Eti Peter Quinn aje kuziba pengo la Brody?🤣🤣🤣🤣
 
Pa1 sana mzee
 
Umeona sasa kumbe series za homeland unazo hapo haya tuoneshe hata picha wapi Carrie Mathison kagongwa na Peter Quinn?
Hata screenshot basi tuone umeangalia najua hujaelewa bali umekariri na kuskip movies so weka hapa watu waone jinsi unavyoumbua kwa fact 🤣🤣🤣🤣🤣
 
ulivyo google ukaja na screenshot ya reddit yalikua ni maoni ya paka?

Halafu kwa hoja gani Director hawezi kua writer?

unamjua Quentin Tarantino ni nani?
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…