Series (Special thread)

Nimeangalia zaidi ya 19 - episodes nachokiongea nakijua.
Mpaka hapo nishajua hujaelewa iyo series maana kila blacklister yoyote duniani anawajua blacklisters wenzake na ndio wengi mnachanganya hapo kwamba anajua kila kitu kumbe anajua blacklisters wenzake na yeye alipanga ilo kabla ya kujikamatisha FBI na watu wanamchunguza huko mbele huyo sio reddington na hajulikani ni nani? So mpaka ni mtu wa mipango sio mjuaji
 
Daredevil
jamaa mmoja kipofu ambaye pia ni mwanasheria anapiga mkono balaa
katika movie za mavel naikubali hiyo
ya pili 2.stranger things, hii inataka kufanana na Dark ya kigerman
3.iron first
4. the punisher
 
Sawa bro sijaielewa, lakini sijaiangalia mpka ulipofika wewe, hiyo haimaanisha sijaielewa.
 
Daredevil
jamaa mmoja kipofu ambaye pia ni mwanasheria anapiga mkono balaa
katika movie za mavel naikubali hiyo
ya pili 2.stranger things, hii inataka kufanana na Dark ya kigerman
3.iron first
4. the punisher
hii dark sitaki ata kuisikia hii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…