Series (Special thread)

Kuna kitu inaitwa "zero hour". Kwangu ni the best. Kwanza haiboi. Pili ipo fasta. Tatu inafikirisha.
 
Hii ngoma ina stori nzr, lkn sijui ata kwanini binafsi haijanivutia, nimecheki mpk episode ya 4 season one bt sijaipenda kiviiiiile, stori yake imekaa kibongo movi bongo movi.
Nimeianza nipo s01e10 naiona nzuri.
 
Hii ngoma ina stori nzr, lkn sijui ata kwanini binafsi haijanivutia, nimecheki mpk episode ya 4 season one bt sijaipenda kiviiiiile, stori yake imekaa kibongo movi bongo movi.
Haaah kama mim nimeangalia episode 3 naona utoto sana
 
Si unamkumbuka wakili saul kweny breaking bad jinsi alivyokuwa anasolve misara ya walt na jesse sasa hii better call saul ni spin off ambayo inamuelezea yeye ndo main character na kuna waigizaji baadhi wa breaking bad wapo humo
Asee hii ni ya kuitafuta. Ahsante mkuu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…