wakuja town
JF-Expert Member
- Oct 26, 2020
- 898
- 1,349
Loo Asante sana mkuu nimepata mwanga sasa, naamini umesaidia na wengine waliokuwa na changamoto kama yangu, Shukran mkuu.Pic ya 1, unaingia chrome or browser yyt ile then unasearch 1337X au site nyingine ya torrent
Hapo ukishasearch utachagua kama ni movies,tv show,application na vinginevyo
Mimi nilichagua television(tv show)
Pic ya 2. Ni series zilizotoka leo,mimi nikachagua the good doctor
Pic ya 3, unaifungua hiyo series yako ili uidownload, kuna option zinakuja hapo unachagua option unayotaka
Mimi huwa napendelea magnet download
Ukiclick hiyo magnet download itakuja option ya utorrent ili uweze kudownload
Ndio pic ya mwisho hiyo
So unachagua utorrent baada ya hapo itajifungua na kuanza kudownload
View attachment 1686490View attachment 1686492View attachment 1686491View attachment 1686493
Linafafana na matendo yangu mkuu,Jina lako zuri
Iko poa mkuu, Shukran sana.Ingia hapo chagua movie unayoitaka download link zipo 720,1080p ukimaliza kuishusha hiyo link just click itakuuliza wapi unataka kupitia kushusha movie, ytorrent au browsernyingine ni simple sana
The Official Home of YIFY Movies Torrent Download - YTS
The official YTS YIFY Movies Torrents website. Download free yify movies torrents in 720p, 1080p and 3D quality. The fastest downloads at the smallest size.yts.mx
Mkuu nikiclick kwenye either 720 or whatever, haimalizi ata sekunde tano kimshale kinachotokea juu ya simu kinaonesha kimeshamaliza yaan complete download bt ukifungua hamna kituIngia hapo chagua movie unayoitaka download link zipo 720,1080p ukimaliza kuishusha hiyo link just click itakuuliza wapi unataka kupitia kushusha movie, ytorrent au browsernyingine ni simple sana
The Official Home of YIFY Movies Torrent Download - YTS
The official YTS YIFY Movies Torrents website. Download free yify movies torrents in 720p, 1080p and 3D quality. The fastest downloads at the smallest size.yts.mx
Inakuja hviMkuu nikiclick kwenye either 720 or whatever, haimalizi ata sekunde tano kimshale kinachotokea juu ya simu kinaonesha kimeshamaliza yaan complete download bt ukifungua hamna kitu
Nenda YT uangalie maybe utaelewa.Inakuja hviView attachment 1687161
Safi sanaa ni series ambayo sipendi ikatishweThe oval season 2.. Kitu kipo hewani... Drama bora kuwahi kutokea
Mimi nimeicheckLupin nani kaicheki
Vipi niishushe mkuu?Mimi nimeicheck
Sijui wewe unapenda series za aina gani ila iyo inahusu Baba na mwanaye wanatoka zao senegal kuja france na mzee anapata kazi kwa tajiri ambaye baadae anambambikia kesi ya kuipa cheni na kumforce akili kosa akiwa mahabusu ila katika kumlea mwanae alimpatia kitabu cha Arsene Lupin kinachohusu kufanya mipango au wizi wa jambo kwa akili so mwanae anakisoma iko kitabu na kuwa mwizi mtaani ila bado anataka kujua nini kilitokea baba yake kukamatwa so unafanyika mnada wa iyo cheni maarufu France so anapanga njama za kuiba huo mkufu kwenye mnada na hapo ndio sakata la kujua utata wa kesi ya baba yake unaanzia hapoVipi niishushe mkuu?
Yaani umo umo aisee ngoja niishushe fastaaaSijui wewe unapenda series za aina gani ila iyo inahusu Baba na mwanaye wanatoka zao senegal kuja france na mzee anapata kazi kwa tajiri ambaye baadae anambambikia kesi ya kuipa cheni na kumforce akili kosa akiwa mahabusu ila katika kumlea mwanae alimpatia kitabu cha Arsene Lupin kinachohusu kufanya mipango au wizi wa jambo kwa akili so mwanae anakisoma iko kitabu na kuwa mwizi mtaani ila bado anataka kujua nini kilitokea baba yake kukamatwa so unafanyika mnada wa iyo cheni maarufu France so anapanga njama za kuiba huo mkufu kwenye mnada na hapo ndio sakata la kujua utata wa kesi ya baba yake unaanzia hapo
Aliyeielewa TENET tufahamishane
Pa1 mkuuYaani umo umo aisee ngoja niishushe fastaaa
Ungetafuta group la movie wangekusaidia ila humu ni series tuAliyeielewa TENET tufahamishane
Ungetafuta group la movie wangekusaidia ila humu ni series tu
Search hapo kwa kuandika movie zitakuja uzi za movies kibaoSikujua kama kuna uzi wa Movies.. naomba uutag niuone.