Baada ya le patron au Don pablo pia waliibuka watabe wengine Kama kina cal cartel, hii siries imebase kwenye true story,Pablo si ndio nyota kwenye hii series inakuaje anakufa mapema hivyo halafu movie iendelee?
Inasimulia hadithi ya askari wa USA aliyeitwa David ambaye anatembelea familia ya Peterson bila kutarajia, akijitambulisha kama rafiki wa mtoto wao ambaye alikufa katika vita huko Afghanistan.
Baada ya kukaa nyumbani kwao kwa siku kadhaa, mfululizo wa vifo hutokea, na binti Anna (Monroe) anamhutumu David anahusuka na vifo hivyo.
Ni katoon?Mandalorian sijajuta kutazama hili dude.
Season 2 nimeshadiwnliad episode 6 nasubiri zitimie zote ndio niuanze[emoji38][emoji38]View attachment 1647301
Sci FiNi katoon?
Harry Potter: Prisoner of Azkaban[emoji91]Harry Potter natafuta nipeni.
Sio cartoon wala animationNi katoon?
Ok poa ngoja niishusheSio cartoon wala animation
Hii series ni sehemu ndogo tu ya lile stori la STAR WARS
Niko ukingoni kuimalizia Breaking bad season now niko s05 e03
Iko vizuri sana kuanzia season ya 3 mwishoni ila 1&2 michosho
Mzee hiyo kitu ni chakula ya macho ukimaliza hiyo pita na elcamino pita na better call soulKama umeipenda BB basi tafuta na Ozark imekaa vizuri sana
Kuna kamfanano ka stori
Huu mzigo unaitwaje mkuu.View attachment 1646481
Politics na game zake chafu.
Haya ndo mambo yangu.View attachment 1646481
Politics na game zake chafu.
Mkuu napataje hiyo mtanangeHarry Potter: Prisoner of Azkaban[emoji91]
Haya ndo mambo yangu.
Huu mzigo unaitwaje mkuu.
Ok niliusikiaga sikiaga kuwa ni wa moto, nikipata time nitaifuatilia,.House of cards