Series (Special thread)

The Oval ipo vizuri Sana
Nimeshaangalia vipande 17 tokea Jana Hadi leo
Nzuri mzee yaani nimempa HR wetu ofisini kasema mi siangalii series zilipoa nikamtania nikamwambia usipoangalia hii series ndoa yako itakua na mifarakano kaangalia jana kaja ananiambia aisee iyo series noma sana
 
Nzuri mzee yaani nimempa HR wetu ofisini kasema mi siangalii series zilipotea nikamtania nikamwambia usipoangalia hii series ndoa yako itakua na mifarakano kaangalia jana kaja ananiambia aisee iyo series noma sana
Season 1 inavipande 25 tu?
Season 2 lini?
 
Season 1 inavipande 25 tu?
Season 2 lini?
Yeah series zake nyingi Zina episodes 25.
Season naona mpaka mwakani mzee coz corona imeharibu kila kitu na corona ikirndelea Sana hivi tutakosa kuangalia muendelezo wa series nyingi
 
Prison Break : "Hold my Beer😅"
 
Lost Ni
Sana season 1-4 , 5 na kuendelea Ni utopolo tu
 
Breaking bad inahitaji utulivu Sana, bila ya hivyo unaweza ona michosho tu, me nmeishia season 2, nna mpango wa kuendelea
 
Yeah! Ngoja ujae ujae maana Mimi sipendi kuangalia kila wiki nataka nione battle ya Catarina Rostova akiwa na mwanae na Raymond Redington
Catarina ameshasanda kwa Ray...tusubiri battle ya revenge kati ya Keen na Raymond.
 
Anayejua season yoyote yenye maudhui kama ya the last kingdom,, mambo ya kuchezea sword na movie za kifalme falme napenda sana. Ila zisiwe za kichina au kikorea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…