Series (Special thread)

Yes
Ila anza na young sheldon
Sometimes kuna raha ya kufuata mtiririko wa kuanzia mbele na kurudi nyuma kama wao wenyewe wanavyozitoa. Maana The big bang theory ndo inaanza halafu ikaja Young Sheldon ambayo ni ya juzi juzi na bado haijaisha. Sasa mtu ataanzaje kuangalia Young Sheldon halafu aishie njiani then aende mbele?

Ni kama kumshauri mtu aanze kuchek Better Call Saul ambayo bado haijaisha halafu aje kuchek Breaking Bad.
Labda kama shows zote zikiwa zimekamilika hapo haitamsumbua.
 
Kati ya sistas na the oval ipi kali angalau nishaanza kudownload sistas?.
Ila series ambayo niliikubali ni too close to home ila iyo if loving you is wrong niliacha Kati coz ina episodes nyingi series za uyo jamaa
 
The oval kitu kikali sana!Nimefika episode ya 25 bila kujua!Tatizo ni kwamba uhondo unakolea halafu season 2 haijatoka!
Hivyo hivyo kwa sistas!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…