Series (Special thread)

Tafuta Strike Back, humo muda wote kumechangamka na kuna minyanduano ya kutosha tu

Cha muhimu ni mikono yako kuwa mepesi kwenye kupunguza sauti!
 
Sawa mkuu ngoja niendelee nayo mdogo mdogo
 
Ila mbona kama sio nzuri!
Ile ni kama kwenda mji mpya.. pataanza kunoga ukiijua mitaa na vichochoro, kuwajua wenyeji na mwisho ukiwapata marafiki baaasi.

Uhusiano wa The Wire ni uhusiano wa Utaratibu. Haikupi raha siku hiyo hiyo go in mpk e4+ ndio utaanza kuelewa na kila kinachopita kitaanza make sense.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ok,ngoja nipige kazi!Nikitoka tu ninayo maana nimeshusha season 1 yote ila niliangalia episode 1 tu na usingizi fofofo!
 
Ok,ngoja nipige kazi!Nikitoka tu ninayo maana nimeshusha season 1 yote ila niliangalia episode 1 tu na usingizi fofofo!
Nilianza bila kumaliza episode 1 kama mara 4 hivi.. nakata naangalia series nyingine mpaka naimaliza majukwaa yote..

Until one day nilipomaliza e4 ..Leo hi am rewatching it the fourth time.. ni Kama kila mwaka unatamani ianze upya.. hasa s1-s4 it's amazing.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Okaay!!!!!!!Nitakuja na mrejesho!
 
Hii The Wire inaanza kuchanganya baada ya mda gani? Niko episode ya tatu ila sielewi elewi ...naona department kibao zinanichanganya
Before you watch the wire you need to know the series was inspired on how drug cartels did their business, communicated and plotted their territories it grows interesting with the change in communication technology. Always cartels seemed to outsmart the law enforcement agencies. Its more of an American Gangster but a series. If you will like this try also the Godfather of Harlem.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…