Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,785
- 28,835
Endelea nayo. Week iliyopita season 8 ndo imehitimishwa ilikuwa ya kiboya sanaHomeland inanoga kwanzia season ya ngapi wakuu, nipo season 2 bado imepoa sana, nakaribia kuiacha!
Sent from my iPhone using Tapatalk
Ipo mpaka season ya 8,usiache mazee,hiyo kitu ninoma,wasiojurikana wa CIA,wanafanya vitu,vya kutisha kulinda maslahi ya USA,Homeland inanoga kwanzia season ya ngapi wakuu, nipo season 2 bado imepoa sana, nakaribia kuiacha!
Sent from my iPhone using Tapatalk
Niko naangalia season ya 8 hapaWakuu kwa waliowahi kuangalia series ya Strike Back, naomba kujua kuna season inayoendelea baada ya 5
Iris na athena ni kali kinoma ndio movie kwangu kali za kikorea za town town.Washkaj kwmb hata hamja ikubali ATHENA na IRIS ?
Mimi ilinishinda aiseeh. Nilisikia watu wanaisifia nikaishusha season mbili lakini sikumaliza hata s1 ikanishinda.Peaky blinder hawez kuwa top 3 , ya kawaida sna na haieleweki haina msisimko
Sent using Jamii Forums mobile app
For Life ni legal drama..Wakuu kuna mtu yeyote amecheki FOR LIFE naomba anipe hints kidogo.
Shukrani mkuu naitafuta leo.For Life ni legal drama..
Hii series inatokana na stori ya ukweli inayomuhusu Isaac Wright Jr aliyehukumiwa kwenda jela kwa kosa ambalo hakufanya, Akiwa jela anaamua kusoma na kuwa Mwanasheria ambae anasaidia kuwatoa marafiki wafungwa kadhaa kabla hajajitoa yeye.
Mpaka sasa zimetoka Eps 11...kama ni mpenzi wa legal drama kama zile Suits, Pearson, All Rise.. Hii sio ya kuiacha mkuu
For Life ni legal drama..
Hii series inatokana na stori ya ukweli inayomuhusu Isaac Wright Jr aliyehukumiwa kwenda jela kwa kosa ambalo hakufanya, Akiwa jela anaamua kusoma na kuwa Mwanasheria ambae anasaidia kuwatoa marafiki wafungwa kadhaa kabla hajajitoa yeye.
Mpaka sasa zimetoka Eps 11...kama ni mpenzi wa legal drama kama zile Suits, Pearson, All Rise.. Hii sio ya kuiacha mkuu
Ook shukrani kwa marekebsho bro!!!Good , lkn point to note ni
Wallace aliingia gerezani akiwa tayari ni mwanasheria tena mkomavu, go back en rewind it
Sema taaluma yake aliitumia bila kujali yupo katika mazingira gani
huna tofauti na mimi nilidownload season 1 mpaka 4 complete ila sasa nilijuta bando nililotumia kukesha usiku. kifupi nilivumilia season 1 baada ya hapo nilifutilia mbali...Mimi ilinishinda aiseeh. Nilisikia watu wanaisifia nikaishusha season mbili lakini sikumaliza hata s1 ikanishinda.
Kuanzia season 4 baada ya Brody kufa kwenye season 3. Trust me utaipenda sana.Homeland inanoga kwanzia season ya ngapi wakuu, nipo season 2 bado imepoa sana, nakaribia kuiacha!
Sent from my iPhone using Tapatalk
Ohoooo imefika mbali kumbe mkuuNiko naangalia season ya 8 hapa
Yaani unamaanisha "Breaking Bad" ni series ya kawaida ama ?
Peaky Blinders ni kali kinoma mzeePeaky blinder hawez kuwa top 3 , ya kawaida sna na haieleweki haina msisimko
Sent using Jamii Forums mobile app
Woyooo... ngoja niishusheFauda season 3 nayo imeachiwa
Hapa waisrael na wapalestina wamelitendea haki bando langu na mambo ya gaza
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Nilichopenda hii series kila season inayofuata inakua kali kuliko inayofuata sio kama designated Survivor season ya kwanza ni kali kuliko ya 2.Fauda season 3 nayo imeachiwa
Hapa waisrael na wapalestina wamelitendea haki bando langu na mambo ya gaza
Sent using Jamii Forums mobile app