Series (Special thread)

Kwa anae fahamu series nzuri za love story like if living you is wrong, Banshee nk. Aweke list hapa kwasasa na wish ku watch series zisizo umiza kichwa sana.
 
Being MaryJane
Too close to home
Famous in love
Sistas
Jane the virgin
Cherish the day
Virgin river
Sex education
 
Zile za Telegram zipo katika format ya .mkv hivyo kama kifaa chako hakina uwezo wa kuplay media zilizo katika mfumo .mkv yakupasa u convert kwenda .mp4 ndio uweke kwenye flash.
 
jason bateman and martin freeman wanafanana sana

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…