Series (Special thread)

Mkuu umeanza kwa kuwa neutral hapo mbele umeonesha mahaba yako kwa 24
bandiko zima ni maneno maneno.
 
Boss mtu ana relay on Wikipedia afu anakomaaa
 
I second you, 24 is the best. GOT mie hata season moja sikumaliza maana haikunivutia hata kidogo. Sijawahi elewa watu wanaipendea nini.
 
Sasa kama umeniingiza choo cha kike nisiseme?Naona wengine wengi tu humu walioona strike back wanakubaliana na mimi kuwa haina mvuto!Shida yako ni kuwa unaiponda 24 huku hujaingalia,hapo ndio nashindwa kukuelewa!Yaani unaenda kuangalia imekosolewaje halafu unakuja kubishana humu!Blacklist japokuwa matukio mengi yanajitegemea huwezi kulinganisha na strike back,kiufupi strike back imekosa stroy kabisaaaa!
 
Mkuu umeanza kwa kuwa neutral hapo mbele umeonesha mahaba yako kwa 24
bandiko zima ni maneno maneno.
Niliingia cha kike kudownload package nzima ya strike back kwa maneno ya kupewa humu jukwaani!Matokeo yake nimejuta!
 
Sijui unafanya makusudi kutonielewa au nini!Ninachosema kwa sasa kumeongezeka access ya kuzipata series kuliko zamani!Kwa sasa kuna smartphones na watu wengi zaidi wana access nazo kuliko miaka 15 iliyopita!Halafu naona unalinganisha kwa kutaja series kama Breaking bad na Game of thrones,hii ni wazi kuwa 24 ni kali ndio maana hulinganishi na series za chini kama strike back!
Pamoja na ukongwe wa 24,nenda kaangalie downloads na views kule O2 tvseries,namba ziko juu sana kuliko series nyingi tu!Kama ndio ingekuwa imetoka sasa,dah nadhani ingekuwa namba 1!
 
Anaejua series kali yenye story nzuri kama Vampire diaries au originals anisaidie please..nipo saivi dukani

note: GOT,24,strike back,money heist, prison break,breaking bad...nishaziona
 
Katika mengi ninayopenda 24.....sio series yenye ungonongono....nafikir katika series zote jack amefanha hykitu s08 nadhan.

Pili...japo jack alikiwa main actor lakin kwakweli njama za mule zilikuwa za juu sana kuliko uwezo wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
ila sijui nini tu lakini mimi naiona 24 ya kawaida sana..hata blacklist ingekuwa na mlolongo wa matukio ingeizidi 24.
mim naona series kali zipo kama GOT,Westworld, Vampire diaries
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…