Mtazamaji au wewe ndo unavurugwa???Hii hoja ya kujinga sanaaa.Taatizo lake ni parts ni nyingi mara north korea mara russia mara china mara france mara ghana mpaka mtazamaji anavurugwa
Au labda kuna muungaaniko wa matukio baaadae
Taatizo lake ni parts ni nyingi mara north korea mara russia mara china mara france mara ghana mpaka mtazamaji anavurugwa
Au labda kuna muungaaniko wa matukio baaadae
Mtazamaji au wewe ndo unavurugwa???Hii hoja ya kujinga sanaaa.
Mkuu hata ww uliisifia lost.. kumbe ya kawaida kuliko kawaida
Ndo najitahid ila bahat nzur season one haina ep nyingMkuu ww sio wa kuacha kuangalia Breaking Bad! Season 1 itakuchosha, ila kuanzia last 2 episodes na season zinazofuata believe me hutaiachia kamwe!
It is the best real!
Anzia hapa season 1 utaendelea hadi season 6.Naomba link ya power
Na sasa ilikuwa iishe ila wameamua kuindeleza season 7 maana walikuwa waishie who shot Ghost ila funs wakasema sence when ghost afe kiboya sasa anarudi kuwashughulikia wote waliomshuuti.Anza na power hutojutia
kama unaitaji kwichi kwichi kwa sanaa angalia californication, spartacus, banshee....
Mkuu hata ww uliisifia lost.. kumbe ya kawaida kuliko kawaida
Naombeni mnitajie series yenye mambo yetu yaale kwa sana
Hiyo you niliiacha coz inasababisha nifikirie kufanya upumbavu tu kwa kweliYou & elite hatariiii
Narudia tena na tena nendeni na HANNA hamtajutia bando lenu
Season 2?