Black mirror for the weekend..jumapil flan tulivu...sisi tunaopenda black American movie at least hii (nimeona cover sijui kilichomo) ngoja nitafute muda nayo.
Mzigo wa "See" ni noma.
Nipen drama moja yenye love story kali n kwich kwch kwa sana
SureAngalizo wakuu uziri wa movie ni mtazamaji, usiangalie sinema kwa kuwa imekuwa recomemded na mtu unless alokwambia anajia unapenda sinema za aina gani kila movie ina genre na audience tofauti tofauti mfano binafsi sijawahi kuzipemda wala kuangalia Vampire diaries, walking dead , izombie na the likes ila kuna watu huwaambii kitu kuhusu aina hizo za senema.
hahah amna boss it's very different from the name, we iangalie tu utaelewa sitaki kuwa spoiler, ila weka subtitles au vaa earphones maana english ya wale wazungu ni brit...
angalia YOU, hutojuta
nishawaambia kwa wanaojua movie Industry, yani sio unaangalia tu kitu ilimradi, tunaangalia uandishi, tunacheki ratings na tunacheki awards, so angalieni hizi series ukichukia ntafte nkupe 10k
.Breaking Bad
.Black Mirror
.Peacky Blinders
.Better Call Saul
Ni kwere manUmeonae? Ni balaa mzee baba. Kwa mara ya kwanz sbu nina bando la kutosha heb ngija niijarib breaking bad naona mnaisifia sna
Hii ya kishamba sanaangalia YOU, hutojuta
Breaking bad ni the best miaka yotenishawaambia kwa wanaojua movie Industry, yani sio unaangalia tu kitu ilimradi, tunaangalia uandishi, tunacheki ratings na tunacheki awards, so angalieni hizi series ukichukia ntafte nkupe 10k
.Breaking Bad
.Black Mirror
.Peacky Blinders
.Better Call Saul
Sipendi movies/series yenye utoto mwingi, Ndg zan zng wa mashariki ndiyo mambo yao hayo..utoto mwingi
Breaking bad ni the best miaka yote
Nipe Link mkuuVagabond jaman kama hujaangalia hii,basi fanya kuitafuta.