Tofauti na 24 hrs n Designated surviror ni Series gani nampata Jack Bauer?
He is my favourite guy!
Naamini Yote yana connection huko mbele!
Nina siriz mbili hapa.. Marvel's Agent of shield na Designed Survivors. Kati ya hizi mbili ipi nianze nayo...?Taatizo lake ni parts ni nyingi mara north korea mara russia mara china mara france mara ghana mpaka mtazamaji anavurugwa
Au labda kuna muungaaniko wa matukio baaadae
Mkuu hiyo ni ya mwaka gani?Watchmen itafuteni
Designated survivor Season one ipo vz kdg, ila huko mbele chenga tupu. Hiyo Marvel's Agents of Shield nayo niliiacha as haina mtiririko unaoeleweka!Nina siriz mbili hapa.. Marvel's Agent of shield na Designed Survivors. Kati ya hizi mbili ipi nianze nayo...?
Taatizo lake ni parts ni nyingi mara north korea mara russia mara china mara france mara ghana mpaka mtazamaji anavurugwa
Au labda kuna muungaaniko wa matukio baaadae
Mkuu hizo zingine nazo kali?Leo ni
Treadstone season 1 ep 6
The Purge season 2 ep 6
FBI season 2 ep 8
Ermegence season 1 ep 7 nazipakua mdogo mdgo
Mkuu hizo zingine nazo kali?
Designated nimeishindwa kabisaDesignated survivor Season one ipo vz kdg, ila huko mbele chenga tupu. Hiyo Marvel's Agents of Shield nayo niliiacha as haina mtiririko unaoeleweka!
kama unaitaji kwichi kwichi kwa sanaa angalia californication, spartacus, banshee....Nipen drama moja yenye love story kali n kwich kwch kwa sana
Ok.. vipi Empire nayo.?Designated survivor Season one ipo vz kdg, ila huko mbele chenga tupu. Hiyo Marvel's Agents of Shield nayo niliiacha as haina mtiririko unaoeleweka!
Zite nshapta nazo hizikama unaitaji kwichi kwichi kwa sanaa angalia californication, spartacus, banshee....
Black mirror for the weekend..jumapil flan tulivu...sisi tunaopenda black American movie at least hii (nimeona cover sijui kilichomo) ngoja nitafute muda nayo.nishawaambia kwa wanaojua movie Industry, yani sio unaangalia tu kitu ilimradi, tunaangalia uandishi, tunacheki ratings na tunacheki awards, so angalieni hizi series ukichukia ntafte nkupe 10k
.Breaking Bad
.Black Mirror
.Peacky Blinders
.Better Call Saul