the great wizard
JF-Expert Member
- Dec 21, 2015
- 1,482
- 882
Kuna hizi must watch new n old
24 legacy
Mr robot (american)
Falling skies (the good one)
Rain
Battlestar galactica
Gang related
Grimm
Sex education (hot hot)
13 reasons why (noma sana)
Stranger things (perfect one)
Fear TWD
Kuna link ninayoweza pakua season 3?Season three hivi ina episod nane tu?
Jaman Mwenye Link ya Money Heist S03 anisaidie Link maan nshaitafuta sana naikosa
kupita kotee kwenye huu uzi umeshindwa kuzitafuta series ambazo zinazotajwa mara kwa maraAisee Mimi ya kwanza ni Homeland na ya pili ni 24hrs, mwenye kuzijua za mission ama za adventure anipe majina nizitafute ila ziwe Kali sio za kusababisha usingizi
Aisee Mimi ya kwanza ni Homeland na ya pili ni 24hrs, mwenye kuzijua za mission ama za adventure anipe majina nizitafute ila ziwe Kali sio za kusababisha usingizi
Za kimarekani ndo kali
Imepoa mwanzoni tu. Itafute utulie nayo mkuu, bwana "Marty" mtaalamu wa money laundering ameitendea haki nafasi yake.Me nilishindwa kuendelea nayo, niliona imepoa sana
Anza kuangalia. Itazingua kidogo kwenye mambo ya city of light but unatulia mpaka season 6 zinaisha
Blacklist season 7 imeanza. Naomba link
nna shida na series ya Game of Thrones complete