Kuna hii ijayo inaitwa rising Dion, ni series huenda itakuwa nzuri sana.Ngoja tusibiri tuone mpaka this october.Naifananisha na No ordinary family.Lakini ngoja tuone.
season 5 ya peaky blinders mkuu haijanivutia labda kwa sababu nimelimisi vurugu la john shelby.
kuna series nyengine nzuri unaweza kunitajia?
yenye maudhui kama ya peaky blinders
season 5 ya peaky blinders mkuu haijanivutia labda kwa sababu nimelimisi vurugu la john shelby.
kuna series nyengine nzuri unaweza kunitajia?
yenye maudhui kama ya peaky blinders