Huu ubabe kwenye hii series ni balaa. Hapo mbele kidogo ukienda utakutana na myahudi anaitwa alfie .ni hatar kubwayap, nimeiangalia season 1 na ndio ilionifanya niwe na mzuka wa kuifuatilia mwendelezo wake.
huyu kaka yao anayeitwa arthur shelby ni zaidi ya mwehu pindi akishabwia cocaine.
hii series haifai kuangalia na mtu unayemuheshimu hususan season 2.
View attachment 1206662
season 3 loading--------
Hii mambo ni level ya Breaking Bad!!!!!nimemaliza kuiangalia season 1 nimeamua kuitafuta season 2 lakini mpaka muda huu nimeshindwa kuipata, Natumai shelby brothers watampokea kwa upendo zaidi yule jamaa mkomunisti aliyefunga ndoa na dada yao.
dah! wakati wewe unapanga mkakati X upande wa pili tommy shelby ameshapanga mkakati WXYZ.nimezipenda hizi nukuu:
maishani mwangu hii itakuwa ni series ya pili kutoka nchi za magharibi kuiangalia.
“Everyone’s a whore, Grace. We just sell different parts of ourselves.” Tommy Shelby Men and their cocks never cease to amaze me.” Aunt Polly Don't f**k with the Peaky Blinders.Aunt polly- All religion is a foolish answer to a foolish question.” – Thomas Shelby
- I learnt long ago to hate my enemies, but I’ve never loved one before. Tommy shelby
- You have your mother’s common sense but your father’s devilment. I see them fighting. Let your mother win.
Alfie SolomonsHuu ubabe kwenye hii series ni balaa. Hapo mbele kidogo ukienda utakutana na myahudi anaitwa alfie .ni hatar kubwa
mkuu kwenye huu ulimwengu wa series za kimagharabi ni dummy kabisa, acha nipambane nayo mdogo mdogo then nitahamia kwengine.Hii mambo ni level ya Breaking Bad!!!!!
Ongeza speed ya kucheki,ufike season 4 ndo kuna wahuni hatari sanaaaaaaaa!!!!Akina Luca Changretta,Aberama Gold,Bonnie Gold,Alfie Solomon s4 ndo hatari
Damn!!Kesho haifiki,tuuuuu S5e5!!!
List yangu mpya...
1. PRISON BREAKS
2. VIKINGS
3.BREAKING BAD
4.GOT
5. MONEY HEIST
6.THE 100
7. IF LOVING YOU IS WRONGMAMBO YA MAHABAA...
huwezi ukalinganisha VIKINGS na GOT ww, nimecheki Vikings mpaka season 5 ni ovyoo.we sema tu GOT wameharibu season ya mwishoWatu wengi wamekuwa wakiisifia game of throne ila nafikiri kama watakuwa waliitazama VIKINGS, watakubali game of throne si lolote....
"IF LOVING YOU IS WRONG" drama nyingi sanaa hakuna uhalisia kabisaa ukija the 100 niliipenda S1 mpaka ya S3 baada ya hapo ni ovyoo wameharibu ni kama arrow walivyoaribu season 3 na kuendeleaList yangu mpya...
1. PRISON BREAKS
2. VIKINGS
3.BREAKING BAD
4.GOT
5. MONEY HEIST
6.THE 100
7. IF LOVING YOU IS WRONGMAMBO YA MAHABAA...
"IF LOVING YOU IS WRONG" drama nyingi sanaa hakuna uhalisia kabisaa ukija the 100 niliipenda S1 mpaka ya S3 baada ya hapo ni ovyoo wameharibu ni kama arrow walivyoaribu season 3 na kuendelea
The 100 me hata sijui imeendeleaje yani mliipoteze season ya 3 episode za kwanza"IF LOVING YOU IS WRONG" drama nyingi sanaa hakuna uhalisia kabisaa ukija the 100 niliipenda S1 mpaka ya S3 baada ya hapo ni ovyoo wameharibu ni kama arrow walivyoaribu season 3 na kuendelea
Ntaitafuta hii GOT mkuu, lakini Viking binafsi yamoto asee....huwezi ukalinganisha VIKINGS na GOT ww, nimecheki Vikings mpaka season 5 ni ovyoo.we sema tu GOT wameharibu season ya mwisho
Alfie yule mwamba hadi Tommy alikuwa haingii kichwakichwaAlfie SolomonsMate
Luca Changretta,Alfie Solomon's.....Alfie yule mwamba hadi Tommy alikuwa haingii kichwakichwa
huyu lucca baba yake ndiye yule mzee vicente changretta kwenye season 3?Luca Changretta,Alfie Solomon's.....
Hawa jamaa wamemtesa Tommy aisee
Ndio yeye Mkuu yule mshua wake aliuliwa na Arthur season 3huyu lucca baba yake ndiye yule mzee vicente changretta kwenye season 3?
Mkuu niliipata kwenye cyberflix .tv ila inasumbua kweli kweli ku stream.ndo maana bado naomba mwenye links nzuriUkipata share,natafuta s02