Series (Special thread)

Ngoja nianze kuiangalia Nina season 1 ila baada ya episode chache nikaipotezea. Naiangalia nikilenga kuenjoy hiyo season2 sasa ikiwa kinyume lawama zangu nakupa wewe
Mimi mwenyewe hii kitu ilinishinda ngoja nimalize kuitazama home landa na deep state niijaribu hii breaking bad maana naona inasifiwa kinoma
 
Huu mzigo ni hatari professor he is out of this world kama zile mambo zisingekua ni act jamaa angekua balaa sana angewalaza wengi na viatu
 
480mkv.net
 
 
Daah....mimi binafsi napenda sana series za mission sana, yaan zinatumika akili nyingi sana kusolve mission km terrorism hivi. Kwahiyo kwangu series ambayo siichoki kuangalia ni "24 HRS" ya Jack Bauer. Though zipo series nyingn nyingi nimeshaangalia.
Chief taja top 5 ya series zako za mission.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…