Series (Special thread)

naombeni link ya kudownload Jumong na the Americans sijawahikuziona
 
Kama uliipenda Strike Back tafuta Brave or Six,Kama uliipenda Vikings Tafuta The last Kingdom or GOT,hizo ulizotaja nyingi zipo unique sana sijui kama kuna mbadala wake mzuri
 
Kama uliipenda Strike Back tafuta Brave or Six,Kama uliipenda Vikings Tafuta The last Kingdom or GOT,hizo ulizotaja nyingi zipo unique sana sijui kama kuna mbadala wake mzuri
Asante mkuu itabidi nizitafute
 
Una taste nzuri sana mzee,hvi Better Call Saul ni nzuri sana?nilisikia ni kama prequel ya Breaking bad ambayo niliipenda
 
hahahah mkuu, mbona yule demu alitekwa (the brave)
 
Hivi wadau kati ya Homeland na The Wire ni ipi kali zaid!??. Natafuta series ya kuangalia ndio najiuliza kuhusu hizi mbili. Homeland VS The wire

Zina Genre tofauti zote nzuri “the wire inahisu biashara ya madawa wakati homeland ni ugaid ziangalie zote
 
Huyu director wa GOT inabidi apelekwe mahakamani ...kaniboa kinomaa

Nimependa alivyoimaliza wengi tulitegemea Jon Snow angekuwa king directo kakichafua! King of seven kingdom ni Brandan! Arya ndo hajamaliza vizuri!
 
wamechemka sio kidogo,dragoni hakutakiwa kuangamiza mji mzima ilitakiwa watu wapambane kwenye ulingo kisha ilitakiwa main character john snow awe king.
wamechemsha sana

Boss hii ilikuwa version yako siyo ya director! Show nzima was full of twists and turns na mwisho pia wamemaintain
 
Shukrani boss. Nipo ninaanza season 7 ya homeland. Nikimaliza nitaanza the wire
Zina Genre tofauti zote nzuri “the wire inahisu biashara ya madawa wakati homeland ni ugaid ziangalie zote
 
Kama uliipenda Strike Back tafuta Brave or Six,Kama uliipenda Vikings Tafuta The last Kingdom or GOT,hizo ulizotaja nyingi zipo unique sana sijui kama kuna mbadala wake mzuri
Hivi "Six" ndo basi tena??
Namwona yule jamaa 1 aliyekuwa mlevi anacheza "Deep state"
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…