Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,138
Shukran kwa ufafanuzi zaidi mkuuThe Enemy Within ni series mpya mkuu,,hadi sasa wametoa ep 10..na bado wanaendelea kutoa ep kila wiki,,,tusubiri baada ya season 1 wanaweza kupewa season 2 tena
Pamoja broShukran kwa ufafanuzi zaidi mkuu
Bila Bran hakuna ambaye angepona...Iko vizuri sana ila Bran yaani anaangalia tu hafanyi lolote
Niko naiangalia hapa...hii series ni kali sana aiseehThe enemy within iko poa sana
season 2 tayari?the chi hewani s2
Money heist ni hatari ile movieMovie gnMovie gan Kali kma money heist wazeeee
Kuna hii the kill point....ina season 1 ni ya mwaka 2007 ni kali kinoma ..Movie gnMovie gan Kali kma money heist wazeeee
kuna ma showrunner wapo kwenye mazungumzo na George Martin kuangalia huwezekano wa kuandika kitabu kinachoelezea matukio ya kabla ya GOT itaitwa Things before GOTHivi GOT ndo season ya mwisho kabisa hii!? Wafanye mpango waongeze series zingine hapo
Daredevil ndo series pekee ya Marvel nliyoipenda, ni nzuri mkuu Fanya kuiangalia....too bad it was cancelled after season three. Hata series ya The Punisher ilizaliwa kutoka Daredevildare devil ya mavel ipoje wakuu??
Ndio mkuuseason 2 tayari?
Kwa wale mliokuwa mnasubiri "Hanna" nimeona matangazo...
Imetoka season 1 yote
Hope itakuwa nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ya siku mkuu!hope itakuwa nzuri sana itajaa mwanzo magic wa continent ya Essos na westerous pamoja na islands bettle za first men vs children of the forest first men vs Andals,etymology Lord houses ,creation of cities, utawala wa bran the buider ,mad kings how king baratheon the rebellion came to power na nyinginezo itakuwa nzuri sanakuna ma showrunner wapo kwenye mazungumzo na George Martin kuangalia huwezekano wa kuandika kitabu kinachoelezea matukio ya kabla ya GOT itaitwa Things before GOT
Bila Bran hakuna ambaye angepona...
Bran ndiye aliyefanya iwezekane kumuua The Night King..!