juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,949
- 5,430
kilikushinda kipi staili ya ngumi zao amaaHaha hyo series ya kishamba siangalii mkuu,ilinishinda
kwani kuna ukweli kwenye siries ni kuridhika tyuu na kuvuta uhalisiaHa ha mwenyewe ilinishinda episode za mwanzo tu..mi series ikishakuwa na uongo uongo mwingi basi naidelete..
Hata Blindspot walipoanza kuleta imagination za kipuuzi nikaachana nao!
Nyingine mauongo yanapitiliza..kwani kuna ukweli kwenye siries ni kuridhika tyuu na kuvuta uhalisia
ila wapenzi wa ile tuna moyo maana wamekua waongo kama wachinaNyingine mauongo yanapitiliza..
Jon anaweza pita nae....mana ni targeryanSasa amechukia mapenzi aisee. Labda atatoka na poldric
Wakati huo daenary yupo wapi. Labda afeJon anaweza pita nae....mana ni targeryan
Matukio mengi yamawezeshwa na computer inakua ni kama unaangalia animationskilikushinda kipi staili ya ngumi zao amaa
Unatumia site gani kudownload mkuu,maana site ninazotumia zote zimefungwa,na miezi nimestop kuangalia series nilizokua nazifuatilia
Season 5 walizingua sana aisee! Nkaishia njiani ngoja nirudishe majeshi
1337x.toUnatumia site gani kudownload mkuu,maana site ninazotumia zote zimefungwa,na miezi nimestop kuangalia series nilizokua nazifuatilia
Ahsante mkuu1337x.to
Karibu mkuuAhsante mkuu
Za mapigano au zenye amsha amsha tu hata kama haina mapigano?hivi kuna series inayofanana na "Into.the.Badlands" maana ktk series hii ndio nimeielewa
zenye amsha amsha, nimeona moja "Warrior.2019.S01E01" nayo ipo vizuriZa mapigano au zenye amsha amsha tu hata kama haina mapigano?
Kwangu sawa tu...Naona ile bad ending imefika kwa key actors kufa anabaki dwarf unless waitwist
Quinn amerudi wapi Kiongozi..?daaa imeuma kufa kwa master au watafanya kama kwa quin ata return
Alafu unaweza kukuta GOT unaifuatilia ile mbaya..!Ha ha mwenyewe ilinishinda episode za mwanzo tu..mi series ikishakuwa na uongo uongo mwingi basi naidelete..
Hata Blindspot walipoanza kuleta imagination za kipuuzi nikaachana nao!