Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,348
- 3,309
Basi hii itabidi ikiniona inipitie kushoto
Mnao SEMA widow iko poa mi sijaona kitu kwa kifupi mi natazama series tofaut tofaut so kinapo kuja kitu kipya iwa najua kabisa hii ni Kali
Kwa kifupi mwaka huu series Kali kabisa ni The Punisher tu.
Widow hakuna kitu, sijui FBI nothing, manifest chenga, strike back Bora wangeaachaga wale jamaa wa mwanzo tu awa chenga, the walking dead chenga,
mwezi wa 5
Tatizo Rating mzee babaHuwa najiuliza kwa nini AMC wanaing'ang'ania walking dead na kui cancel badland
Ngoja tuone itakavyokuaHii mbona kama story yake imeisha au watakuja na story ya jinsi walivyo spend hela?
Nadhani kuna heist nyingine itafanyika, ukiangalia hawakurob big kutokana na muda kuisha.. days are numberedHii mbona kama story yake imeisha au watakuja na story ya jinsi walivyo spend hela?
Yani walking dead Kama kuisha ingesha ishaka kitambo saana nashindwa kuelewa wanacho fanya sa ivi aseeHuwa najiuliza kwa nini AMC wanaing'ang'ania walking dead na kui cancel badland
Mkuu nipe jina la series moja kali mno, niianze leoMzee baba hii ndo starehe yangu kubwa baada ya music na s*x hahaha..
Nipe ma muv maqali yaliyoyoka mkuu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Anza na Siren mkuu.. Ukimaliza piga The gifted.. Kuna series mpya inaitwa Hanna, the Enemy within, kuna za longi kidogo Kama Salvation, The flash(ipo season 5 sasa) The Last Ship..
Wakuu site gani kwa sasa naweza kudownload series,maana nilikua natumia extratorrent na 13377x zenyewe zimefungwa?
Wakuu site gani kwa sasa naweza kudownload series,maana nilikua natumia extratorrent na 13377x zenyewe zimefungwa?
Ahsante mkuuAu inaitwa todaystvseries unaeza itafuta google
Sent from my iPhone using JamiiForums
Piratebay imerudi mkuu,pia kuna app inaitwa popcorn time zote zipo vizuriWakuu site gani kwa sasa naweza kudownload series,maana nilikua natumia extratorrent na 13377x zenyewe zimefungwa?