Gwakukahja
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 1,119
- 740
Hivi homland broody alioneka kwenye s4 au alikufa jumla? nataka nieendelee nayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikufa jumla, mambo yanaendelea na Peter quinHivi homland broody alioneka kwenye s4 au alikufa jumla? nataka nieendelee nayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Alionekana mkuuHivi homland broody alioneka kwenye s4 au alikufa jumla? nataka nieendelee nayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Baadaye alikuja kuibuka
Anaibukaje mtu kafa mkuu, ? Haonekani kabisaBaadaye alikuja kuibuka
Alitokea mkuu... Sijui aliponaje pale aliponyongwa..
Alitokea mkuu... Sijui aliponaje pale aliponyongwa..
Labda ulikuwa mzimu..
Alitokea kama kwenye ndoto tu, but in real life hakuonekana tena baada ya kunyongwa!Alitokea mkuu... Sijui aliponaje pale aliponyongwa..
Labda ulikuwa mzimu..
Sawa hapo nimekuelewa..Alitokea kama kwenye ndoto tu, but in real life hakuonekana tena baada ya kunyongwa!
Sent from my TA-1053 using JamiiForums mobile app
Sikumbuki ila kuna mdau hapa kajibu kwamba alimtokea yule demu wake ndotoni..
Peter Quin mwenyewe nae alikufa wakati anamuokoa rais Elizabeth! Homeland bonge la series!
Sikumbuki ila kuna mdau hapa kajibu kwamba alimtokea yule demu wake ndotoni..
Yule aliyekuwa anarukwa akili mda mwingine
kumbe ndotoni

Ila hii ni moja ya series niliyoielewa sana.. Niliicheki mpaka mwisho!!Vizuri kabisa aunze na daredevil ,Frank castle Fujo kanzia huko....walishapigan Sana Na yule kipofu mwanasheriaPunisher season tu nitofauti sana na season one,hii season 2 ipo njema mara kumi zaid ya season One.. Ila ukitaka uzifaid na ujue kisa chote anzia tu One.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alivyokufa mi nikaona na series imeshaharibika kwa sababu huyu jamaa aliplay kipande cha ajabu sana aisee.Hivi homland broody alioneka kwenye s4 au alikufa jumla? nataka nieendelee nayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nilitamani aibukie season hiiAlivyokufa mi nikaona na series imeshaharibika kwa sababu huyu jamaa aliplay kipande cha ajabu sana aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app